nyie ndio mnaharibu tangu lini timu za afrika zikatoa magoli mengi..ww hata ukiangalia over 1.5 zinapewa odds 1.45 mpaka odds 1.60 timu za kupewa odds za over 1.5 zaidi 1.28 hadi 1.30 ni za kuwa nazo makini bookies sio wajinga sasa nyie timu inapewa goal 1.5 over odds 1.50 au 1.60 hata hamshtuki kwamba hakuna magoli hapo ila mnajilipua kwenye hamna.!Mimi sibeti kabisa hadi ligi zirudi, sizielewagi timu za taifa kabisa yani sijui huwa wanachezaje magoli hakuna ya kueleweka timu hazieleweki pia