Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi sibeti kabisa hadi ligi zirudi, sizielewagi timu za taifa kabisa yani sijui huwa wanachezaje magoli hakuna ya kueleweka timu hazieleweki pia
nyie ndio mnaharibu tangu lini timu za afrika zikatoa magoli mengi..ww hata ukiangalia over 1.5 zinapewa odds 1.45 mpaka odds 1.60 timu za kupewa odds za over 1.5 zaidi 1.28 hadi 1.30 ni za kuwa nazo makini bookies sio wajinga sasa nyie timu inapewa goal 1.5 over odds 1.50 au 1.60 hata hamshtuki kwamba hakuna magoli hapo ila mnajilipua kwenye hamna.!
 
Ilitangaaza kufilisika au BOT wali release tu tangazo kuwa tumefunga bank fulani?
Huko Mbali mnoooo
FBME juzi tu,NDIO walitangaza Bank na kuhamisha accounts za watu kwenda banks nyingine

Halafu labda uwe mgeni in betting

Hapo Makampuni ya KAMARI yamefunga yenyewe na pesa za watu wameseoa Nazo,na Serikali haijasema lolote,maana betting kama vuuza UNGA ktk Jamii watu wanaona aibu😂😂😂

Tukiulizana humu wangapi familia zetu zinajia tunacheza Kamari ni Kituko Kitupu,NDIO maana hata kampuni za Kamari zikisepa watu wanaugulia kimya kimya

Na Mwaka huu hauishi kuna kampuni zitasepa na pesa za watu

Muhim kujia betting sites sio sehem sahihi kuacha pesa nyingi kwenye account
 
Leo nkaamua nijaribu betting nione inakaaje nkatupia 100k.. naona kuna mwanga kwa mbaaaliii
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-11-21-13-51-385_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    Screenshot_2024-10-11-21-13-51-385_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    135.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_2024-10-11-21-21-03-864_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    Screenshot_2024-10-11-21-21-03-864_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    283.1 KB · Views: 3
nyie ndio mnaharibu tangu lini timu za afrika zikatoa magoli mengi..ww hata ukiangalia over 1.5 zinapewa odds 1.45 mpaka odds 1.60 timu za kupewa odds za over 1.5 zaidi 1.28 hadi 1.30 ni za kuwa nazo makini bookies sio wajinga sasa nyie timu inapewa goal 1.5 over odds 1.50 au 1.60 hata hamshtuki kwamba hakuna magoli hapo ila mnajilipua kwenye hamna.!
Izo odds za 1.5 au 1.60 kwenye option ya over 1.5 huwa zinatoa sana kuliko ata odds za 1.13
 
Wakenya wamepata goli ila Egypt mpuuzi...mikeka ya matrsni ya hakika nimepost miwili siyo huu
Kama nilivyo sema💥💥💥💥
 
Attachments

  • Screenshot_20241011-223526_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241011-223526_SportyBet.jpg
    168.5 KB · Views: 6
Back
Top Bottom