Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu siyo Promo, wewe Ukijisajili Utapewa Bonus Ya Mwisho Laki Tatu. Ukiweka 100000, utaongezewa 100000 nyingine. Ukiweka 150000 utaongezewa 150000 nyingine
Uwe unawaambia na masharti ya hiyo bonus wakishapata inakuwaje
Kwa ninachofahamu makampuni ya mrusi masharti ya hizo bonus zao ni x100 ya mganga wa kienyeji
 
Halafu we jamaa jinga sana Hilo kampuni la matapeli Kila siku unalipamba Ili mkono wako uwende kinywani huku wakamalia wakilia Kwa kupigwa pesa jinga sana wewe jamani paripesa matapeli paripesa matapeli paripesa matapeli msiseme hamjaambiwa Kila siku mnalalamika hamsikii mnatujazia server
Vizuri sana mkuu
 
-mnko9k.jpg

WAKE UP TO BOOM 🏀

Booking Code: 1K625

Jisajili PARIPESA Kwa Kubonyeza Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka Neno TIPS2424 👇

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 upate bonus ya mpaka TZS 300,000 Ambayo Utaitumia Kwa Kubetia Leo Hii.
 
Q
Umedeposit leo? Itakuwa mtandao unaotumia una shida mkuu. Mbona mimi natumia vizuri tu. Mtandao gani unatumia mkuu
Kijana usi wa defend moja kwa moja sema wew hujatokewa na hio shida utaumbuka siku moja by the way paripesa n wezi wazur tuh ila wew hawaja kufikia hao jamaa n wasumbufu hela usipoiona wanakua wakali na hupew wakiamua so kama sio matapel hela ambazo tuna deposit/withdrawal hazifik kokote znaenda wap?sio utapel huo n mtandao hausom sio?
Idiot
 
Mimi sio mchangiaji sana, ila kwa Observation huyu jamaa ni agent wa hiyo Paripesa na ana maslahi direct...

Na watu kama hao mikeka wanayotuma sijui kastake 1M sio kweli.
Thats not real money, those are tokens.

Defending yake kwa hiyo kampuni ni kama CCM na kujiandikisha 🤣🤣🤣
 
Akili manyanya chungu nikishaona mtu anasema promocode sjui vnn n upuuz mtupu na hawajawah kua na stake ya chin laki hata mliwe wote vip
 
Makampuni ya mrusi kuna muda ukideposit inaweza kuchukua hata wiki.

Mimi nilidepposit siku nzima hakuingia, nilivyowasiliana nao wakaweka baada ya siku 3.
Nikawa nafanya utafiti kampuni hilo hilo nikadeposit 1000 nione isipoingia na nisiporepprt je wataweka wenyewe bila shuruti?

Hatimaye wameweka baada siku 8.
Kampuni ni melbet
Currency USD
 
Du balance imeanza kukata nina 12000 tu
Wacha nianze kutumia kiberenge badala ya sgr nikuze mtaji

9571F8

Hapa mkifanya mautundu utundu mtakula sana ni moja tu inaweza kuchana au mbili basi
 
Attachments

  • Screenshot_20241018-094956_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241018-094956_SportyBet.jpg
    99.3 KB · Views: 2
t8nbt7.jpg

LET'S MAKE IT BACK TO BACK, CHINA BASKETBALL 🏀

Booking Code: 95NM5

Haupo PARIPESA? Jisajili 👇

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Wakati Wa Kujisajili Upate Bonus Ya Asilimia 300%.
 
Du balance imeanza kukata nina 12000 tu
Wacha nianze kutumia kiberenge badala ya sgr nikuze mtaji

9571F8

Hapa mkifanya mautundu utundu mtakula sana ni moja tu inaweza kuchana au mbili basi
Thank you
Timu zipi unahisi zinaweza kuuchana
 
Halafu we jamaa jinga sana Hilo kampuni la matapeli Kila siku unalipamba Ili mkono wako uwende kinywani huku wakamalia wakilia Kwa kupigwa pesa jinga sana wewe jamani paripesa matapeli paripesa matapeli paripesa matapeli msiseme hamjaambiwa Kila siku mnalalamika hamsikii mnatujazia page
Cha ajabu sasa yy peke yake ndo anaisifia kampuni ya paripesa
 
Halafu we jamaa jinga sana Hilo kampuni la matapeli Kila siku unalipamba Ili mkono wako uwende kinywani huku wakamalia wakilia Kwa kupigwa pesa jinga sana wewe jamani paripesa matapeli paripesa matapeli paripesa matapeli msiseme hamjaambiwa Kila siku mnalalamika hamsikii mnatujazia page
Acha wivu mtoto wa kiume kama unaona Ser anafaidi tafuta kampuni na wewe uwe dalali

1xbet pia ina mawakala na wapambe wengi ila hiyo haizuii changamoto za kimtandao kutokea.

Kingine anatumia bando/simu/pc na muda wake hivyo usimpangie mtu cha kufanya waka kuandika.
 
Back
Top Bottom