Mkazamoyo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 1,495
- 2,543
Uwe unawaambia na masharti ya hiyo bonus wakishapata inakuwajeMkuu siyo Promo, wewe Ukijisajili Utapewa Bonus Ya Mwisho Laki Tatu. Ukiweka 100000, utaongezewa 100000 nyingine. Ukiweka 150000 utaongezewa 150000 nyingine
Kwa ninachofahamu makampuni ya mrusi masharti ya hizo bonus zao ni x100 ya mganga wa kienyeji