Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
"this website is currently not available in your region"Nimegonga nao ung'eng'e wa kutosha naona hata wao PariPesa hawana majibu kama wapo kihalali Tz au la!
Hivyo muwe makini na hela zenu mlizo ziweka huko, hawakawii kusema "this website is currently not available in your region"
Huu uhuni walitufanyiaga 22bet wakasepa na hela za watu baada ya bodi kuwapiga ban kwa utapeli kwa wateja
Soon Helabet watafuatia kupigwa ban na bodi kwa kusumbua wateja
Angalau naona Betwinner ndio kwa wamesajiliwa wanajitahidi kwa sasa
Ngoja niwafuatilie niwaone wanatangazwa sana Clouds