Hongera sana mkuu sasa mwenzio yuko Labor wewe unachungulia kama Madrid kachomoa zile mbiliWakuu jana nlikuwa na mikeka miwili.
Yote imetiki.
Mmoja ni huu wa muhindi
Wapili shem wenu alikuwa labor, kanizawadia Babyboy
AlhamdulilahView attachment 3133191
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app