blackice2100
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,188
- 2,897
Huu mkeka kama kuna aliyejitwika uchizi na kuenda nao wasiopewa nafasi mmh,,,, leoMimi naenda hivi leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mkeka kama kuna aliyejitwika uchizi na kuenda nao wasiopewa nafasi mmh,,,, leoMimi naenda hivi leo
ahly uhakika anafungua ligi vizr kuliko pyramids hamn kitAl Ahly vip anatoboa leo au ndo Km ya akina mayele
Electronic money huwa haipotei, kuna sehemu inakuwepo na inaacha alama ilikopita, ni wewe kuifatilia tu.hiyo process nimefanya mkuu na hela nimeitoa kutoka kwenye account ya helabet sas shida ni kuitoa ile hela kwenda kwenye laini maana t
Walinidirect kwamb nitumie mtandao niliotumia ku deposit ambao ni voda ila nilijisajili kutumia halotel shida kuhamish ile hela kutoka selcom kwenda
daa
so far hiyo hela imepotea endapo nimekosa wakala wa selcom
hiyo process nimefanya mkuu na hela nimeitoa kutoka kwenye account ya helabet sas shida ni kuitoa ile hela kwenda kwenye laini maana tFungua app ya Helabet, utaona kuna neno limeandikwa MENU lipo Chini upande wa kulia, Ukibonyeza utafunguka ukurasa mwingine, utaona kuna icon ya setting ipo mkono wa kulia juu kwenye kona. Bonyeza hilo neno, utakuja ukurasa wa ambao utaona kuna neno withdraw. Bonyeza hilo neno, itakuja njia mbalimbali za ku withdraw. Chagua njia uliyo Jisajilia wewe
Walinidirect kwamb nitumie mtandao niliotumia ku deposit ambao ni voda ila nilijisajili kutumia halotel shida kuhamish ile hela kutoka selcom kwendaUkibonyeza Withdraw, itakuja list ya mitandao. Chagua mtandao uliojisajilia. Utaingiza kiasi cha pesa kisha uta confirm
daaHiyo pesa kuipata hadi umuone wakala wa selcom ukiwa na hiyo msg
so far hiyo hela imepotea endapo nimekosa wakaMkuu kama ulijisajilia Halotel Hakikisha Una Login Kwa Kutumia Hiyo Laini Ya Halotel au ID. Huwezi kutoa hela Kupitia voda wakati ID inasoma ulifungulia HALOTEL.
Ila yeye amesema alisajilia Halotel, halafu anasema tena anahamisha kwenda M-Pesa.
sawa mkuu kwa ushauri wako so far ni mimi kumtafuta wakala wa selcomElectronic money huwa haipotei, kuna sehemu inakuwepo na inaacha alama ilikopita, ni wewe kuifatilia tu.
Fata utaratibu tu itatoka.hiyo process nimefanya mkuu na hela nimeitoa kutoka kwenye account ya helabet sas shida ni kuitoa ile hela kwenda kwenye laini maana t
Walinidirect kwamb nitumie mtandao niliotumia ku deposit ambao ni voda ila nilijisajili kutumia halotel shida kuhamish ile hela kutoka selcom kwenda
daa
so far hiyo hela imepotea endapo nimekosa waka
sawa mkuu kwa ushauri wako so far ni mimi kumtafuta wakala wa selcom
Mi nilijichanhanya nikajua nimepick game ya berkane dah kucheki baadae kumbe nimepick ya raja dah halafu berkane kashinda.Macab, orlando, dynamo kiev, na raja kila nikiwaweka kwenye mkeka lazima wachane.......
iwe win, dc, dnb, magoli yani nikibet in their favor lazima wachane......
wanaingia blacklist rasmi
Mkuu hiyo hela kuipata utasota sana utadhani unaomba msaada.hiyo process nimefanya mkuu na hela nimeitoa kutoka kwenye account ya helabet sas shida ni kuitoa ile hela kwenda kwenye laini maana t
Walinidirect kwamb nitumie mtandao niliotumia ku deposit ambao ni voda ila nilijisajili kutumia halotel shida kuhamish ile hela kutoka selcom kwenda kwenye mpesa