Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KoteM PESA haifanyi kazi kwangu tu au ni pote?
Dah!Kote
Hizo timu mbili za mwisho sijuiWakuu nataka nitie laki yangu hapo naomba ushauri
2KLJKRR betpawaToeni odds wazee za betpawa
1xbet kashaondoa kutoa pesa kwa simu, hawa wanabaki bora upande wa kutumia wakala
Bet Winner kwa kampuni za Kirusi inabakia kuwa kampuni salama kwa kuweka na kutoa pesa zako mwenyewe
Kaka odds 7 unaweka 100 unatafuta hela ya kujiunga sms au?
Mrekebishe hapo Inter mpe ata double chance, Hao warusi hapo toa, kule kwa Barcelona mrekebishe vizuriWakuu nataka nitie laki yangu hapo naomba ushauri
Huoni imeandikwa example bet, au hujui maana ya example bet ( manake mfano wa bet ) apo ame bookings code BDO hajastakeKaka odds 7 unaweka 100 unatafuta hela ya kujiunga sms au?
Hahah natania mkuu😃👋
Anhaa sawaa💪Huoni imeandikwa example bet, au hujui maana ya example bet ( manake mfano wa bet ) apo ame bookings code BDO hajastake
Ni ww tu na utayari wako wa kupokea tokeo mojawapo kati ya matokeo yote mawili , win au lostWakuu nataka nitie laki yangu hapo naomba ushauri
Unamuina barca akishinda vipindi vyote viwili?Hizo timu mbili za mwisho sijui
Unaendeleaje huko unadhani kanji bwege eeh.Live weka GG inatoa uhakika
Kweli mkuu hapo nimezingua ila si unajua wakamalia kwa kujambishana.Mkuu hizi sio comments za KIUNGWANA kabisa...... zinakatisha tamaa wanaotuma TIPs
Mtu anapotoa TIPS haimaanishi LAZIMA itoe, vinginevyo wakamalia tungekuwa mabilionea
Kama wewe ulikua unajua Kanji sio bwege hebu tuonyeshe bet ulio mnyima Arsenal goli na uka stake high upate hela?
Iyo CSKA Moscow jana ilinichania mkekaWakuu nataka nitie laki yangu hapo naomba ushauri