Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sportybet


Corners ONLY



ABF0D11


DBC74CC


268B2C7



Bora nianze kucheza corners tu hata bet ikiwa lost haitauma sana kama kuwapa man city win na wako 3-0 lakini mwisho 3-3
 
Mkuu stupid ni neno la kawaida sana kwa sisi wanaume, humu watu tuna stress za kuchaniwa mikeka na timu mojamoja kama Manyumbu na Leipzig so tusameheane kama hujazoea lugha kama izo. Don't get it personal

Lakini bado sikubaliani nawewe kuhusu kutengeneza odds kichuguu kwa kutumia milima ya mechi, it isn't worth risking. Unarisk hadi kwenye odds ya 1.0? Seriously?

Anyway, best of wishes
lakini mkuu si umeona mkeka wake umetick laki 4 akitoa elfu 90 yake aliyostake faida laki tatu. isikutishe hata akipoteza hana hasara kwani hizo stake walishinda kabla mfano hio laki 4 aliyoshinda hapa kwa ile stake ya 90 elfu anairudisha tena kustake tena 90 kwani mara moja kujilipua sio mbaya kwani bahati zipo tu...vp ww jana ulishinda pesa ngapi.?
 

Attachments

  • Screenshot_20241127_132838_Chrome.jpg
    Screenshot_20241127_132838_Chrome.jpg
    228.2 KB · Views: 5
Wazee naombeni tadhmini ya game ya liverpool vs madrid,kuna mkeka nimempa madrid handcap ya goli 3,.
 
Back
Top Bottom