Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii game inatamanisha sana kumfuata Aseno mazima lakini Man U sio wa kuwachukulia poa wamepandisha form yao wanaweza kufanya maajabu

Mi naondoka nayo kwa Total corner Over 10.5 Odd 2
Kwa sababu timu zote zinashambulia sana possibility ya kona nyingi ni kubwa
Aiseee Asante Sana niliifata 10.5conner na imetoa
 

Attachments

  • Screenshot_20241205_005921.jpg
    Screenshot_20241205_005921.jpg
    159.2 KB · Views: 3
Back
Top Bottom