Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mzee Mbona paripesa wanasema imefungiwa tzsh
Hii Hapa inafunguka mkuu. Kama umewasha VPN hiyo itakuwa ndiyo sababu.
Screenshot_20241207-135107_1.jpg
 
Wengine wageni hapa ndo mnamaanisha nini home team clean sheet
 

Attachments

  • Screenshot_20241207-142738.png
    Screenshot_20241207-142738.png
    155.8 KB · Views: 5
Yani hata goli moja kupata ni issue ukiangalia timu ulizoziacha wanascore uliyochagua sasa ni 0-0
Imenikuta hapa juzi kati team za ukrein premier, nikaangalia H2H gemu kama 5 hakuna walotoa suluhu zote wamefungana kwa idadi ya magoli 2 chache goli 1, nikachek previous mechi za kila team ,hakuna walokosa kufunga goli haijalishi alishindwa au alishinda.. nikahitimisha kwa kuwaomba goal 1 FT.

Mkeka ulikuwa na odds 11 , teams almost 12 , hao wapuuzi wakatoa 0 - 0 ft kwa mara ya kwanza. Zingine zote zikatiki kasoro na barca akapigwa kwao na las palmas

12 games, 10 won, 2 lost
 
Manchester city na galatasaray kukupa hizo goli ni uhakika kwa sababu hizo timu zinajitahidi kufunga lakini zinahakikisha wapinzani wao pia wanapata chochote
GG uhakika ,ila.saiv pale anadaka Ortega sio rahis city kutoa GG
 
Au gemu zinacheza 567 , unaweka zako over 0.5 gemu zako 20 upate odd 2 ustake zako high , Cha ajbu gemu 50 kati ya 500+ zinatoka 0-0 , unajikuta gemu Yako umeangukia kwny hzo gemu za 0-0 dah😂 Yani hzo gemu 500 zote uliziruka dah kama uchawi vile😭 SEMA unakuta mda mwengne kanji nae jau unakuta ananza na over 2.5 au 3.5
Mkamaria unabet na Kanji naye anabet. kinachosababisha Kanji apate faida kubwa ni kwasababu yeye anataka mechi moja tu ichane kwenye mkeka wako.
 
Back
Top Bottom