Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Siku mbaya ofisini.. benfica daah
 
Attachments

  • Screenshot_2024-12-11-08-23-50-858_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    Screenshot_2024-12-11-08-23-50-858_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    153.7 KB · Views: 4
Siku ya jana imepita, Benfica na ManCity wamenilaza pabaya, wakuu tupeni SGR ya week end, kazi iendelee, KUKATA TAMAA MWIKO
 
Mpira haupo hivyo kama unavyofikiri na kaa ukijua timu inaweza ikashinda dakika yoyote na inaweza kugunguwa dakika yoyote ile chamuhimu husiamini matokep mpaka muamuzi amalize mechi.
Sawa mkuu ila nafikiri inategemea match nani ana cheza na nani. Ukizingatia odds alizo kua amepewa, na jinsi alivyo pata matokeo mapema alafu huyo kibonde anarudisha magoli dakika tano nyingi.
 
1x2 both to score first half (1-yes) wakuu hiyi ina maana gani kwenye betting nimeikuta betpawa naona ina odds nyingi yaan timu 3 ods buku 6 nataka niamishe kambi niweke hapa nipen ufafanuzi kwanza kuna faa????
 
Timu zote zipate goli kipindi cha kwanza
 
Back
Top Bottom