Nahisi kuna ukweli hapo Aisee betting kwa sasa haiko fair kabisa hata huyu Madrid nae leo sijui tu maana kikosi cha ajabu Yan kuchomoka ni ngumu! Mwaka 2015 nilipokuwa naanza Kubet siku za weekend timu kubwa zote zilikuwa za uhakika kushinda ila kwa sasa betting Yan unashangaa Arsenal yuko home anashindwa kutoa goli hata moja, mara liver dakika ya mapema kadi nyekundu mara psv kapigwa mara Bayern nae kapigwa mwisho tena Madrid nae anaweka kikosi cha kupigwa nayeye duuu betting ya sasa sio ya kuweka hela nyingi