Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nahisi kuna ukweli hapo Aisee betting kwa sasa haiko fair kabisa hata huyu Madrid nae leo sijui tu maana kikosi cha ajabu Yan kuchomoka ni ngumu! Mwaka 2015 nilipokuwa naanza Kubet siku za weekend timu kubwa zote zilikuwa za uhakika kushinda ila kwa sasa betting Yan unashangaa Arsenal yuko home anashindwa kutoa goli hata moja, mara liver dakika ya mapema kadi nyekundu mara psv kapigwa mara Bayern nae kapigwa mwisho tena Madrid nae anaweka kikosi cha kupigwa nayeye duuu betting ya sasa sio ya kuweka hela nyingi
Huyo bayern kaninyima laki mbiki mbwaa huyooo na nimempa DC tu
 
Mhindi hacheki na wowote.
FB_IMG_17342179022693134.jpg
 
Boooooooooooooommm 💥 💥 💥 💥
Odds 5 za recovery zimetick.
Hongera kwa wote mliofata na kushinda.
Ili kuendelea kupata mikeka kama hii, hakikisha umejisajili na helabet kwa kubonyeza link hii hapa chini.
Kisha jiunge na group letu la WhatsApp
IMG-20241215-WA0000.jpg

SHINDA NA SISI AU ENDELEA KUTUANGALIA TUKISHINDA!
 
Nahisi kuna ukweli hapo Aisee betting kwa sasa haiko fair kabisa hata huyu Madrid nae leo sijui tu maana kikosi cha ajabu Yan kuchomoka ni ngumu! Mwaka 2015 nilipokuwa naanza Kubet siku za weekend timu kubwa zote zilikuwa za uhakika kushinda ila kwa sasa betting Yan unashangaa Arsenal yuko home anashindwa kutoa goli hata moja, mara liver dakika ya mapema kadi nyekundu mara psv kapigwa mara Bayern nae kapigwa mwisho tena Madrid nae anaweka kikosi cha kupigwa nayeye duuu betting ya sasa sio ya kuweka hela nyingi
Betting ishakuwa biashara ya wajanja duniani. Hili lipo wazi kabisa..kwa jinsi mambo yanavyokwenda wengi tushashtuka.
 
Hakunaga formuła kwenye kamali.

Juzi Arsenal kamtandika Monaco tatu bila.

Arsenal huyo kashindwa kufunga hata goal moja (Highbury) kwa kibonde kama Everton.

Cha msingi kwenye kamali, ni kuweka kuliko ulicho kuwa tayari kupoteza (hata cha kupoteza kinauma kikienda).

Ila kamali ugonjwa
 
-rebdor.jpg

𝐁𝐀𝐒𝐊𝐄𝐓𝐁𝐀𝐋𝐋 𝐂𝐇𝐈𝐍𝐀 🏀🏀

Code👉 AQU5J

Tumia Promo Code 𝐓𝐈𝐏𝐒𝟐𝟒𝟐𝟒 Upate 𝟑𝟎𝟎,𝟎𝟎𝟎 Bure Ukijiunga Na Kudeposit.

Jisajili PariPesa Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: 𝐓𝐈𝐏𝐒𝟐𝟒𝟐𝟒

GAME ZA MCHANA
 
Back
Top Bottom