Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20241219-171721_MelBet.jpg
 
We
Yanga ana hasira na kutaka kuprove sio kayumba kama Man City😂. Muombe Over 1.5
Odd 1.7

Game ya Benfica timu mwenyeji ni mchovu sana kufunga mzuie kwa Under 1.5
Odd 1.18

ToT vs Man U wana penya sana katikati kutafuta magoli kuliko cross, No headed goal
Odd 1.59

Game ya Chelsea No sending Off(sio No Red Card)
Odd 1.2

Jumla odd 3.6 zenye asilimia kubwa ya kutoa

Tusaidiane lawama kwa kuchagua game moja tu ya direct win kati ya hizi 👇👇

Zamelek Win. Odd 1.96
Inter Win. Odd 1.4
Atletico Luanda Win. Odd 1.46
Ajax Win. Odd 1.26

Ukijumlisha na timu moja hapo juu ya lawama unapata kuanzia
Odd 4 hadi Odd 7+

Tia mzigo kisha agiza kinywaji usubiri maajabu ya matokeo ya mpira ili uje kunishukuru/laumu baadae

ALWAYS STAKE WHAT YOU CAN AFFORD TO LOSE 🙏

NB; Natumia 1xbet
🙏🙏🙏🙏 Kwa niaba yao nasema asante ubalikiwe japo nimechelewa ila barikiwa sana
 
Wale Corners over 6.5 naona leo zinaelekea kutoa mapema tu

Ila ujinga wa betting Kuna mmoja unaweza kukuta kaganda na corner Moja tu ya mwisho Nusu Saa nzima🤣🤣🤣
Screenshot_20241220-001148.png
 
Ziliongezeka dakika 8 lakini refa hataki kumaliza mpira anataka ahakikishe mpaka 2+yake
Screenshot_20241220-005929_MelBet.jpg
inatoka
 
Yanga ana hasira na kutaka kuprove sio kayumba kama Man City[emoji23]. Muombe Over 1.5
Odd 1.7

Game ya Benfica timu mwenyeji ni mchovu sana kufunga mzuie kwa Under 1.5
Odd 1.18

ToT vs Man U wana penya sana katikati kutafuta magoli kuliko cross, No headed goal
Odd 1.59

Game ya Chelsea No sending Off(sio No Red Card)
Odd 1.2

Jumla odd 3.6 zenye asilimia kubwa ya kutoa

Tusaidiane lawama kwa kuchagua game moja tu ya direct win kati ya hizi [emoji116][emoji116]

Zamelek Win. Odd 1.96
Inter Win. Odd 1.4
Atletico Luanda Win. Odd 1.46
Ajax Win. Odd 1.26

Ukijumlisha na timu moja hapo juu ya lawama unapata kuanzia
Odd 4 hadi Odd 7+

Tia mzigo kisha agiza kinywaji usubiri maajabu ya matokeo ya mpira ili uje kunishukuru/laumu baadae

ALWAYS STAKE WHAT YOU CAN AFFORD TO LOSE [emoji120]

NB; Natumia 1xbet
Asante baba
 
Jana ilikuwa siku nzuri
 
Attachments

  • Screenshot_2024-12-20-07-24-51-991_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    Screenshot_2024-12-20-07-24-51-991_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    142.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-12-20-07-24-09-957_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    Screenshot_2024-12-20-07-24-09-957_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    133.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_2024-12-20-07-23-01-389_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    Screenshot_2024-12-20-07-23-01-389_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    144.9 KB · Views: 3
Nimedepost pesa paripesa alafu sipati option ya kuwithdrawl kwa mpesa jamani eeh msaada nafanyaje kuzitoa hizi pesa
 
Back
Top Bottom