Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Chama la Wana!
1000017241.jpg
 
bora wewe ulichaniwa mi nilivyoona stake inashuka man cty na yule mwenzake nikajikuta na cash out laki moja kwenye m25 nakuja kustuka city kaludisha mkeka win nikaikosa m25 mana niliweka wafungane odds 502 kwa stake ya buku 30 alibak yeye tyuu uchawi upo na hy c mala moja
😂😂😂😂 Pipa muongo sana usimtilie maanani.
 
Wawekezaji jana nilitengeneza mkeka wa game 4, kati ya hizo game mbili zimeahirishwa na moja imetoa imebaki moja. Je pesa ya ushindi iliyokuwepo kabla ya zile game kuahirishwa bado nitapewa au inakuwaje? Kampuni ni Sportybet
 
Unapewa hela kwa mechi zilizocheza
 
Back
Top Bottom