Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameniua janaNasubiri wapate goli moja tu apa nilale ila cha ajabu wanakosa adi penati na wamebakia wao tu kwenye mkeka
unaweka 650k kwa hizo option?888STARZ[emoji687][emoji419]
Promo Code 888starz weka BUZAView attachment 3197693
Sehemu ya Promo code Jaza BUZA
[emoji383][emoji383]
😁😁 huwa nawachora tu, unakuta mtu ka stake 700k kwenye treni yenye odds 100+unaweka 650k kwa hizo option?
kweli nimeamini nyie wazee wa promo code mnatumia demo account wala hamtumii hela zenu
Leta odd 10 za. Leo mkuuChama la Wana!
View attachment 3198460
Karibu jukwaani wazee wa PROMO CODE na DEMO ACC zenu kutuingiza mkenge
Mkuu sijui anayewaingiza mkenge nyie na anaye tumia DEMO account.Karibu jukwaani wazee wa PROMO CODE na DEMO ACC zenu kutuingiza mkenge
Naona Ser kapata mshirika mpya
Nimekupa timu 48 first class team over 1.5.. unashindwa kutoa timu 15 tu...upate odds 10?Leta odd 10 za. Leo mkuu
Leta odd 10 za. Leo mkuu
😂😂😂😂 Pipa muongo sana usimtilie maanani.bora wewe ulichaniwa mi nilivyoona stake inashuka man cty na yule mwenzake nikajikuta na cash out laki moja kwenye m25 nakuja kustuka city kaludisha mkeka win nikaikosa m25 mana niliweka wafungane odds 502 kwa stake ya buku 30 alibak yeye tyuu uchawi upo na hy c mala moja
Unapewa hela kwa mechi zilizochezaWawekezaji jana nilitengeneza mkeka wa game 4, kati ya hizo game mbili zimeahirishwa na moja imetoa imebaki moja. Je pesa ya ushindi iliyokuwepo kabla ya zile game kuahirishwa bado nitapewa au inakuwaje? Kampuni ni Sportybet
Weeee unaiona Mechi live kama mie au unasema tuuWazee wakujilipua ,mamelod ana odd 6 uko,anashinda hii game