Remark
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 510
- 989
Weka yanga ashunde.. simba ashinde au sare.. halafu kopa kabisa bank uwezo wako wote ikiwezekana hata weka bond chochote baadae utanishkuru😀Wakuu hizi game za Bravo vs Simba , na Al hilal vs Yanga, nipen link leo nataka niziangalizie kwa simu, au kama kuna namna yakuweza kuangalia kwa kustream kutumia simu nipen hayo maujanja