stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,990
- 4,241
Mechi nimeshatuma hapo juu👆Huyo anaye promote yupo WhatsApp au Telegram?
Nimeicross check hiyo Flash bet ni kweli hilo game lipo.
Pia nimetafuta hizo Team Online ni kweli Timu za Italy lakini ni vitimu vidogo sana, just imagine ligi wanayocheza inaitwa SERIE E, Girona/Group A. Kwenye kampuni zingine za betting hamna hii ligi.
Kuhusu Correct score hili jambo lipo lakini linafanywa kwa usiri mkubwa sana kwenye timu kubwa, hivyo ni rahisi kufanyika kwa vitimu vidogo vidogo kama hivi maana ndio ulaji wao sababu hili jambo linahusisha pande zote (makocha, wachezaji, mafera)
Nipe connection ya huyo jamaa anaye promote nikaone hali halisi.
NB: Correct score/ sure bet huwa zinatumiwa sana kwenye utapeli, hivyo ukitaka kufukizia hizi mambo jua kuwa unaweza kutapeliwa nje nje
Timu ni> Kaamri 1987 VS Jeokuyla
Correct score> 2:1
Ipo Flashbet.vip
Odds 33🔥
⏰19:00
Stake and relax
*Kuna watu wanaingiza mamilioni kila siku unaweza enda kwenye page ya Facebook ukajionea reactions na maoni yao kuhusu huu mchongo
Changamoto nicheki Wa.me/255779221947