ChalaX Nyato
Member
- Aug 24, 2024
- 92
- 167
Barcelonaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YaaniHii nimeiweka hata dakika tano hazikupita pesa ikawa imepepea hivyo
Yaani nyaunyau leo...Barcelona kaondoka na hela yangu yooote
😀😀😀 Jamani anaetaka legal advices aje nipate chochote kitu hela yote nimeibetia...sina nauli ya kazini keshoila kanji leo lazima nife nae...ameshachukua 20...sasa nasuka la kulalia serikali iingilie kati ndo kwanza tarehe mbili doh
Yaani mi Leo ndo kaniweza vibaya saana dahkanji wikiend hii katunyoosha anafidia machungu ya UEFA.
Mbona leo Bett siyo NgumuYaani mi Leo ndo kaniweza vibaya saana dah
dah pole sana.Yaani mi Leo ndo kaniweza vibaya saana dah
Barca ndio ameharibu, ameenda na kijiji nilimuwekea over 1.5Mbona leo Bett siyo Ngumu
Asante..Ila arsenal angalaudah pole sana.
Najua sasa kubet nachukua humu code ama najibonyezea Tu😀😀😀Mbona leo Bett siyo Ngumu