Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG_2419.png
hii imekaaje najaribu kuwithdraw PARIPESA napata ujumbe kuwa maximu amount ya kuwithdraw ni 264000 per day
 
Huyu falal Levante kashindwa kupata tu goli Moja daah... Na niliweka mshindo aseee.....
Screenshot_20250204-063701.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20250204-063710.jpg
    Screenshot_20250204-063710.jpg
    265.5 KB · Views: 3
Huu moeka ulikuwa na odd 2000 kama sikosei nextime unaharibu kupoteza unaweka lazima na mwingine unaflex
Noma sana ... Nilichagua timu za kushinda shazi...lakini nikawaomba angalau tu ipate goli tukifungwa sawa ukisare sawa ...ila Levante akaona aninyime kibunda....
 
Sawa mkuu.
Kwa leo nina hii mikeka 2 ya odds 2 Sportybet

Code: D03F3B
Code : 0F17C0

Ila sijastake kabisa stake niliyoweka ni ndogo kabisa, ila wewe unaweza kujilipua.

Options nilizoweka ni 1st half under 2.5 na over 0.5 kwa timu mbili tu.

NB: Huwa nachagua timu ambazo hazichapani magoli mengi kwa kuangalia records kadhaa za nyuma.

Unakuta timu zinatoa goli 2 au 3 kwa Full time, so hapo lazima under 2.5 1st half itoke japo kuchana kupo kama kawaida.

Jamaa wa Twitter tayari kashapost mkeka na unaendelea kuchanja mbuga.
Mikeka yangu hii ilikufa kibudu.

Code ya kwanza mechi moja imechoma

Code ya pili mechi mbili zimechoma
 
Back
Top Bottom