Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna mechi ya under 19 kati ya Salzburg na Athletic Madrid! Kwa kukuza vijana wakali na kuwauza Salzburg wako vizuri wana vijana wazuri na wapo home Kama una roho ndogo wape watoe goli moja wenyewe over 0.5 wana odd 1.21
Halafu kuna mechi ya Bunley na Cadif hapo England Championship kama kawaida Bunley kufungwa ni Ngum sana na anataka kukomaa apande daraja arudi ligi kuu hivyo mpe win or draw hawez kufungwa ana odds 1.21.
Nenda pale Uefa kuna Deby ya real Madrid na Athletic Madrid mpe Real Madrid win or draw ana odds 1.25
Nenda pale kwa matajiri wa Africa ligi ya Misiri kuna Zamalek anacheza pale mpe win or draw! Ukijumlisha hapo unapata odds 2+ weka mzigo tulia usiongeze timu usipunguze timu! Hapa kanji anakaa!
 
Kuna kipindi mwindi anakupa hela mpaka unaona betting ni kazi rahisi sana.
Akiamua kukuhukumu unakuta mpaka 1.13 zinachana.
ukiwin mfululizo. wanaolalamika wameliwa unawaona hawajui kitu, kimoyomoyo unasema "hawa wasenge vipi?, kubet rahisi lakini wanalialia"
 
ukiwin mfululizo. wanaolalamika wameliwa unawaona hawajui kitu, kimoyomoyo unasema "hawa wasenge vipi?, kubet rahisi lakini wanalialia"
Kuna kipindi mwezi uliopita nilikula mfululizo mpaka muda mwingine nikaikuta 40,000 imezagaa tu kwenye akaunti nilikuwa nimeisahau.

Kuifatilia kumbe nilikuwa nimebeti odds 4, timu 2 mojawapo zilionesha dalili zote za kuchana kwa hiyo nikaachana na hiyo akaunti. Kumbe zote zilikuja kutiki dakika za nyongeza mimi nilishajikatia tamaa.
 
Kwa uzoefu wangu nilionao.

Mechi ya PSV vs Arsenal sio ya kuweka kwenye mkeka.

Mara ya mwisho wali draw 1 : 1
 
Hahaha! Dah! Yaani mpaka unashangaa.

Unaona labda unaliwa kwa sababu unabeti pre match, unaamua uhamie kwenye live.
Unaikuta mechi ipo dakika ya 86 na matokeo ni 0:0.
Unaamua kubeti under 1.5 odds 1.11.
Ukibonyeza tu, dakika ya 87 goli na dakika ya 90 goli.
Yaani hapo lazima utukane kwa sauti hata kama uko peke yako.
Moja ya koment iliyowahi kunifurahisha hapa jf
 
Kaka hii paripesa unaipigia upatu sana. Nimejisajili lakini mbona ukifungua link inazunguka tu. Mbaya zaidi nimetia 70k yangu humo.
Inazungukaje mkuu? Hiyo itakuwa tatizo la mtandao wako mkuu. Kama unaona inaload tu jua ni mtandao wako wa internet uko Chini, kama unatumia web download app ya PariPesa Hapa 👉https://cutt.ly/EwZzWppF
 

Attachments

  • _20250304_212109.JPG
    _20250304_212109.JPG
    182.7 KB · Views: 1
Labda kweli ni mtandao maana hata hii link haifunguki
Mimi nimebonyeza link hiyo niliyo Weka hapo juu imefunguka na kutaka ni download. Kama unavyo ona kwenye picha 👇. Jaribu ku flight mode on then off flight mode. Au tumia mtandao wenye kasi
Screenshot_20250304-214138.png
 
Back
Top Bottom