Muhsin Snr
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 515
- 806
hawa madrid kuna dalili ya goli la nne kweli dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana, B.Dortmund hata kwenye msimamao wa Bundesliga yupo chini sana kama Man Utd ya England. Msimu huu muondoe kabisa kwenye betting katika ile mikeka yenye stake kubwa na unaforce win.Rasmi sasa nimeamini Dortmund ya msimu huu ni kengold ya bara Uropa
Huyu Lille sasa nae nikae chini naye tuyamalize kila nikimbetia ashinde ananichania nikibeti afungwe yy ananichania yaani ilimradi alipo yeye mkeka uchanike
Lakini pia option ya magoli ya over 1.5 goals au over 2.5 goals inafaa zaidi kwa baadhi ya timu kama Bayern munich (huyu pia ana win sana msimu huu), PSG na PSV.Kama una hisi kuwa timu fulani au mtu fulani atashinda, ni bora umchague mshindi (1 au 2).
Kama una kauoga unaweza weka double chance (kwenye mpira wa miguu).
Na ukiweka mzigo usifuatilie mechi.
Options zingine zilizobaki,hazifai. Utakuwa unapiga hatua moja mbele,tatu nyuma.
Maneno yangu sio sheria.
Mechi za katikati ya wiki au wikendi? Naweza kukusaidia mechi za wikendi hii. Binafsi huwa mikeka yangu ni mechi za ijumaa hadi jumatatu pekee, nimespecialize huko.Nina 50 hapa nipeni odds 2.5 mpaka 3.
Mechi zisizidi 2.
Hapana afisa, matokeo ya mchezo ndani ya dakika 90 ndiyo yanatabirika kwa ufanisi zaidi kuliko options zingine zote zilizobaki.UKITAKA KUBETI NA KUSHINDA MARA NYINGI ZAIDI BETI HIZI OPTIONS.
1 ) Corner
2 ) Fouls
3 ) Ball Possessions
4 ) Shots
5 ) Throw-ins
ILA UKITAKA KUBETI NA KUWA NA UHAKIKA WA KUSHINDA ZAIDI BASI BETI.
1 ) Tackes
2 ) Dribbling
3 ) Interceptions
4 ) Aerial Won
@By TIPS MASTER
Kuwa makini zaidi, yeye anauwezo wa kurudisha hasara yake yote ya mwaka mzima ndani ya wiki moja.Hapo safi. Mhindi anasiku ya tano sasa kawa rafiki yangu. Ananipa hela ndogo ndogo za kutumia kila siku
Bado utapigwa tuKama una hisi kuwa timu fulani au mtu fulani atashinda, ni bora umchague mshindi (1 au 2).
Kama una kauoga unaweza weka double chance (kwenye mpira wa miguu).
Na ukiweka mzigo usifuatilie mechi.
Options zingine zilizobaki,hazifai. Utakuwa unapiga hatua moja mbele,tatu nyuma.
Maneno yangu sio sheria.
Kwangu mimi,draw ndiyo huharibu sana mambo.Bado utapigwa tu
Itakuwa na magori mengiMnaionaje mechi ya Benfica vs Barcelona
Za katikati ya wiki hasa leo.Mechi za katikati ya wiki au wikendi? Naweza kukusaidia mechi za wikendi hii. Binafsi huwa mikeka yangu ni mechi za ijumaa hadi jumatatu pekee, nimespecialize huko.