Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Code hii haipo sawaView attachment 3262236
#CHINA BASKETBALL 🏀🏀 ON MEGAPARI
Booking Code: CD5Q6
Jisajili MEGAPARI Hapa 👇
https://cutt.ly/owZOBkve
https://cutt.ly/owZOBkve
Promo Code Weka: TIPS2424
Pata 250000 Bure Kwa Kujisajili Na Kuweka Promo Code TIPS2424 Na Kudeposit.
Mkuu hiyo code ni ya Megapari siyo PariPesaCode hii haipo sawa
ArbitrageHizi ushawah kufikiria au kutafuta Loophole kwenye Hizi bettings?.
Ni kweli hakuna Betting sites ambayo ina mianya kidogo ambayo inaweza kurudisha hela yako hata nusu kama ukiliwa??.
Arbitrage
Sema faida inaweza kuwa ndogo saaana sio hiyo 50% unayosema. Mechi zenyewe zenye loophole za kutafuta kama bikra.
Tunaona bora twende kwenye uwanja wa vita kavu kavu. Aidha mwindi ale buku yangu au nile elfu kumi yake kwa buku langu.
Pia inatakiwa utumie kampuni 3 tofauti kwenye mechi hiyo hiyo.
Kampuni zote unazotumi zisiwe na kodi kabisa kwa sababu ukikatwa kodi watakuwa wameharibu mahesabu kabisa.
Shida ni kuwa tuna greed sana.Arbitrage
Sema faida inaweza kuwa ndogo saaana sio hiyo 50% unayosema. Mechi zenyewe zenye loophole za kutafuta kama bikra.
Tunaona bora twende kwenye uwanja wa vita kavu kavu. Aidha mwindi ale buku yangu au nile elfu kumi yake kwa buku langu.
Pia inatakiwa utumie kampuni 3 tofauti kwenye mechi hiyo hiyo.
Kampuni zote unazotumi zisiwe na kodi kabisa kwa sababu ukikatwa kodi watakuwa wameharibu mahesabu kabisa.
Ukifikia hatua hii kwenye betting unatakia upumzike ku_bet kdg mkuu!!otherwise naona tatzo la afya ya akili linakujiaNgoja niifanyie research hii arbitrage.
Mm natafuta namna nikiweka option 3. Iwe isiwe 2 lazima ziland na hizo 2 zinipe faida hata kama ni 10%.
Ila iwe ni uhakika. Au kama zikinila bas nusu ibaki.
Hiyi ya juu bado, under itanila zaid ya nusu.
Ni kazi kubwa ila no way out. M in...
Betting sijaanza siku nying.Ukifikia hatua hii kwenye betting unatakia upumzike ku_bet kdg mkuu!!otherwise naona tatzo la afya ya akili linakujia
Kuna kitu leo nimefikiria.Jamani nauliza tangu jana game za EUROPE zimeisha LINEBET mpka sasa hawaja weka matoke ya PLZEN VS LAZIO nilicheza Faulo n zimetoa game zote 16 lkn hii game hawataki kuweka matokeo ili walipe pesa yangu
Kumbe kumbenaKumbe
Mbetiji inabidi uwe unafikiria kama wewe.Betting sijaanza siku nying.
Na wala haijanila hela nying.
Ni kama hizi za bia tu.
But mm huwa napenda kufikiria nje ya box.
Ambayo watu weng hawafikirii including ww.
Watu wote Dunian waliofanikiwa kwenye kitu chochote ni wale waliowaza tofauti.
Ila mediocre kama ww daima utabak ulipo
Na huo ndo ukweli,always the house winsMbetiji inabidi uwe unafikiria kama wewe.
Hiyo mianya kuna muda huwa inatokea kwenye live beting. Ila huwa inakuwa na manufaa kama ulishabet pre match kwenye game husika.
Hapo unakuwa umemweka mhindi mtu kati kwa option ulizochagua.
Vyovyote itakavyokuwa unakula hela.
Ila ufahamu kuwa njia nyingi tunazoeikiria kubeti, bookie walishaziona na kuweka odds za kuwa-favor wao.