Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

6vtoot.jpg

#CHINA BASKETBALL 🏀🏀 ON MEGAPARI

Booking Code: CD5Q6

Jisajili MEGAPARI Hapa 👇

https://cutt.ly/owZOBkve

https://cutt.ly/owZOBkve

Promo Code Weka: TIPS2424

Pata 250000 Bure Kwa Kujisajili Na Kuweka Promo Code TIPS2424 Na Kudeposit.
 
Hizi ushawah kufikiria au kutafuta Loophole kwenye Hizi bettings?.

Ni kweli hakuna Betting sites ambayo ina mianya kidogo ambayo inaweza kurudisha hela yako hata nusu kama ukiliwa??.
Arbitrage
Sema faida inaweza kuwa ndogo saaana sio hiyo 50% unayosema. Mechi zenyewe zenye loophole za kutafuta kama bikra.

Tunaona bora twende kwenye uwanja wa vita kavu kavu. Aidha mwindi ale buku yangu au nile elfu kumi yake kwa buku langu.

Pia inatakiwa utumie kampuni 3 tofauti kwenye mechi hiyo hiyo.
Kampuni zote unazotumi zisiwe na kodi kabisa kwa sababu ukikatwa kodi watakuwa wameharibu mahesabu kabisa.
 
Ngoja niifanyie research hii arbitrage.

Mm natafuta namna nikiweka option 3. Iwe isiwe 2 lazima ziland na hizo 2 zinipe faida hata kama ni 10%.
Ila iwe ni uhakika. Au kama zikinila bas nusu ibaki.

Hiyi ya juu bado, under itanila zaid ya nusu.

Ni kazi kubwa ila no way out. M in...
 
Shida ni kuwa tuna greed sana.

Odds 10 mtu anaona ndogo.
 
Ngoja niifanyie research hii arbitrage.

Mm natafuta namna nikiweka option 3. Iwe isiwe 2 lazima ziland na hizo 2 zinipe faida hata kama ni 10%.
Ila iwe ni uhakika. Au kama zikinila bas nusu ibaki.

Hiyi ya juu bado, under itanila zaid ya nusu.

Ni kazi kubwa ila no way out. M in...
Ukifikia hatua hii kwenye betting unatakia upumzike ku_bet kdg mkuu!!otherwise naona tatzo la afya ya akili linakujia
 
Betting sijaanza siku nying.
Na wala haijanila hela nying.
Ni kama hizi za bia tu.

But mm huwa napenda kufikiria nje ya box.
Ambayo watu weng hawafikirii including ww.

Watu wote Dunian waliofanikiwa kwenye kitu chochote ni wale waliowaza tofauti.

Ila mediocre kama ww daima utabak ulipo
 
Jamani nauliza tangu jana game za EUROPE zimeisha LINEBET mpka sasa hawaja weka matoke ya PLZEN VS LAZIO nilicheza Faulo n zimetoa game zote 16 lkn hii game hawataki kuweka matokeo ili walipe pesa yangu
 
Attachments

  • 20250307_100355.jpg
    20250307_100355.jpg
    75.2 KB · Views: 3
Jamani nauliza tangu jana game za EUROPE zimeisha LINEBET mpka sasa hawaja weka matoke ya PLZEN VS LAZIO nilicheza Faulo n zimetoa game zote 16 lkn hii game hawataki kuweka matokeo ili walipe pesa yangu
Kuna kitu leo nimefikiria.
Hizi Kampuni tanzu za so called Warussi ambazo 95% zinafanana ila tofauti iko kwenye Themes. Ni Janja Janja tu ..

Na Hawakat Kodi coz nadhani Serikali haijawapa bado Kibali. Kwahiyo VAT hawana.

Ni mtu au kikund cha watu ambao wameomba uwakala au kumiliki hizo themes kwa majina tofauti. Na ndio maana kuweka au kutoa hela inachelewa coz lazima ulipia kwa Lipa Namba /mawakala nk na uonyeshe Screenshot alaf wao wakiona hela na screenshot ndio wakuwekee.

Kilichotokea kwako ni kuwa wameona game ya mwisho imetiki, wakakaa kimya. Maana wakiipa tiki, bas wataachia hela muda huo huo.

Vuta subra, wataweka tiki na kukuwekea mpunga wako.
 
Betting sijaanza siku nying.
Na wala haijanila hela nying.
Ni kama hizi za bia tu.

But mm huwa napenda kufikiria nje ya box.
Ambayo watu weng hawafikirii including ww.

Watu wote Dunian waliofanikiwa kwenye kitu chochote ni wale waliowaza tofauti.

Ila mediocre kama ww daima utabak ulipo
Mbetiji inabidi uwe unafikiria kama wewe.
Hiyo mianya kuna muda huwa inatokea kwenye live beting. Ila huwa inakuwa na manufaa kama ulishabet pre match kwenye game husika.
Hapo unakuwa umemweka mhindi mtu kati kwa option ulizochagua.

Vyovyote itakavyokuwa unakula hela.
Ila ufahamu kuwa njia nyingi tunazoeikiria kubeti, bookie walishaziona na kuweka odds za kuwa-favor wao.
 
Na huo ndo ukweli,always the house wins
 
Ukidhubutu kucheza Betting kesho tuu.
Tafuta Mechi ya Yanga na Simba Hadi Sasa Simba ana Odds 4.21 dhidi ya Yanga 2.03.

Mpe Simba Ushindi. Weka 100,000/=. Inatoka 410,000/=. Au 1,000,000/= unatoka 4,100,000/=

Hii pesa unaiachaje?
 
Back
Top Bottom