Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

watakupa tu huwa hailali siku hata jioni watakurushia. Namba zao zipo kwenye menu yao namba 5 wameandika mawasiliano sema kuwapata kaz mda wote wapo busy.. Huwa wanasema mashine yao ya m pesa iko slow kulipa watu wengi kwa wakati mmoja ndo maana inachukua muda.

Thanks mkuu kwa info....nilianza kupata wasiwasi.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Ngoja nichek na mods au _sticky huu uzi. Leo nimempa benfca,barca,porto,atletico vilareal
 
Kie kie kie naendelea kaka naona leo mpaka zitapasuka
 
Back
Top Bottom