watakupa tu huwa hailali siku hata jioni watakurushia. Namba zao zipo kwenye menu yao namba 5 wameandika mawasiliano sema kuwapata kaz mda wote wapo busy.. Huwa wanasema mashine yao ya m pesa iko slow kulipa watu wengi kwa wakati mmoja ndo maana inachukua muda.
Thanks mkuu kwa info....nilianza kupata wasiwasi.
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums