Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nahitaji somo juu ya kubet?Kama kawa leo mpunga nje nje uliza mechi yoyote nikusaidie kubet.
C.E.O mikekani Investment uko wapi?
mkuu nam nataka kubet sasa sijui nifanye je nipate hy card
nahitaji somo juu ya kubet?
naweza kubet kupitia voda??
tofauti iliyopo kati ya bet kawaida na bet handcapp
kima cha chini na cha juu cha kubet
faida/interest rate kama nimepata ikoje?
2po ma ceo, siwajua tulikua busy kutwa kutafta mpunga wa kuweka leo. Leo kama kawa mikeka ipo kuna vijana wa metz,atlethco bilbao huwa hawaniangushagi hawa watu
Nimemuongeza everton hapo, umenyonga ngapi?
nimeweka handcap win kwa metz na bilbao. Naweka buku 10 nipate buku 45.. Najua hawataniangusha vijana. Afu pia naweka na normal namweka na evaton.
C.E.O toka Napoli atuumize kaingia mitini,
napita.....
c.e.o toka napoli atuumize kaingia mitini,
Man u leo atatoa cap wakuu......?