Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama kawa leo mpunga nje nje uliza mechi yoyote nikusaidie kubet.
nahitaji somo juu ya kubet?
naweza kubet kupitia voda??
tofauti iliyopo kati ya bet kawaida na bet handcapp
kima cha chini na cha juu cha kubet
faida/interest rate kama nimepata ikoje?
 
nahitaji somo juu ya kubet?
naweza kubet kupitia voda??
tofauti iliyopo kati ya bet kawaida na bet handcapp
kima cha chini na cha juu cha kubet
faida/interest rate kama nimepata ikoje?

mkuu revo kama umefatilia vizuri uzi huu nimeeleza vizuri kati ya betting normal na handcap. Kuhusu kubet voda unaweza cha msingi bofya *149*19#
 
2po ma ceo, siwajua tulikua busy kutwa kutafta mpunga wa kuweka leo. Leo kama kawa mikeka ipo kuna vijana wa metz,atlethco bilbao huwa hawaniangushagi hawa watu

Nimemuongeza everton hapo, umenyonga ngapi?
 
nimeweka handcap win kwa metz na bilbao. Naweka buku 10 nipate buku 45.. Najua hawataniangusha vijana. Afu pia naweka na normal namweka na evaton.

Hapo umeniconvince kaka ngoja niongeze mwingine nanyonga kidaka.
 
Wakuu nani anaweza shinda kati ya juventus na as Roma...

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom