Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dahhh! Wazeee wenzangu naona chama lamikeks linazidi kukua
 
Kamanda nakuaminia. Leo ni Man U vs Sunderland. Nipe maujanja.

game itakua ngum sana kwakua sundland ni timu ya kibishi sana ni timu ambayo ina roho ya kijerumani wapo tayari kufa na tai shingoni. Na mara nyingi game za usiku sana zinakuaga na kasi sana kwa maana hiyo kwa odds nilivoziona leo man u kapewa 1.27 ni ndogo sana cha msingi weka handcap draw.
 
Upo vizuri C.E.O, hata dr leaky haoni ndani. 🙂
 
Alaf ma C.E.O badilisheni jina ya thread tutakua wazee mpaka lini...
 
Kweli kabisa ngoja 2fanye changes. Kwahiyo tuite jina gani ambalo litasadifu maudhui?
 
Mikekani investments na mods wau sticky ukae pale juu ngoja nimpm invsible
 
Back
Top Bottom