Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
- #281
Wakuu nani anaweza shinda kati ya juventus na as Roma...
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
ngoma droo hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu nani anaweza shinda kati ya juventus na as Roma...
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Kama kawa leo mpunga nje nje uliza mechi yoyote nikusaidie kubet.
Kamanda nakuaminia. Leo ni Man U vs Sunderland. Nipe maujanja.
game itakua ngum sana kwakua sundland ni timu ya kibishi sana ni timu ambayo ina roho ya kijerumani wapo tayari kufa na tai shingoni. Na mara nyingi game za usiku sana zinakuaga na kasi sana kwa maana hiyo kwa odds nilivoziona leo man u kapewa 1.27 ni ndogo sana cha msingi weka handcap draw.
Upo vizuri C.E.O, hata dr leaky haoni ndani. 🙂
Ac Milan,PSG na Ajax
Alaf ma C.E.O badilisheni jina ya thread tutakua wazee mpaka lini...[/QUOTEk
Kweli mkuu watafute mbadala wa hilo neno mf. wataalam/mafundi wa kubashiri au mikeka investors........
Kweli kabisa ngoja 2fanye changes. Kwahiyo tuite jina gani ambalo litasadifu maudhui?