Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mi mgeni kwa vodacom beting ...nikianza na *149*19# then nashindwa kuendelea ...ntupieni maujuzi wakongwe...
 
Wakuu leo betting gani tule mpunga jaman

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Gane za leo naziona kama zina mounga kimtindo...Ila kwa kujiridhisha zaidi mkuu ingia hapa upate predictions zao pia maana mie jana hawa jamaa walinipatia mpunga kea baadhi ya mechi.
 
Ndio naelekea hivyo,ila nahisi kama Sunderland namnyima leo..

"Nlikuwepo":bolt:
 
Attachments

  • 1391008864690.jpg
    1391008864690.jpg
    52 KB · Views: 146
mi mgeni kwa vodacom beting ...nikianza na *149*19# then nashindwa kuendelea ...ntupieni maujuzi wakongwe...

nenda weka dau kawaida chagua team unayodhani itashnda then chagua cheza tena then endelea tu.
 
Jamani kule france hali naiona kama si hali...
Marseille wanaanza kuti gundu mapema.Mtu wameshinda freshi goli moja halafu dakika sita mbele wanaruhu goli..sasa ndio nini hivyo?

"Nlikuwepo":bolt:
 
Naona vilio vinaendelea!! Mikeka ya weekdays naichunia,
 
Back
Top Bottom