Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkeka umeanza kukubali
Chelsea 1
Celtic. 2

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
poleni sana wadau mlio mwamini dortmund leo

nimempiga mhindi hattrick leo

pepo la BVB leo nimelieupa
 
Salalaaaa!! Hata Brisbane roar wanashindwa kufunga??? Asubuhi yoote hii mkeka unachanika
 
Da nasubiria ajax , juve na liver nimalizie megamix yangu ya jana nyingne zimeshakubali tayari

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mkeka wa usiku cap draw ya roma na spoting ndo umeniokoa na aibu ya wikeend
 
Kuna game nimelipia wakati zishaanza. Kanjibah kasema atanrudshia mpunga wangu.
 
Back
Top Bottom