Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Du? Droo bado ni sumu ktk betting... Hivi jamani kuna mtu huwa anabet droo?
 
wakuu eeeeh,hajaa nimewapenda kwani pointd zao ni nyingi na ukipiga hela mzigo wako unaupata ndani ya dkk sifuri tu,sasaaa,hawa anayewajua vizuri hawa majamaa aweje hapa jamvini taratibu na jinsi ya kucheza michezo yao manake naona wana mambo matamu mengi ambayo maelezo yake ya jins ya kubet siyaelewi elewe
 
Premier BETING YA MHINDI NDO INATUWEKA MJINI....MHINDI OYEEE
 
kama una voda m,pesa andaika *149*19#itakuja menu ya namna ya kucheza utachagua,mchezo wa kawaida au handcap,hapo no,2 team moja inapewa goli kabla ya mechi utaona alama ya jumlisha,ukimaliza tupia mkwanja watakupa no ya rist,piga menu ya m,pesa nenda mpaka no,4 lipia kampunu,weka no,ya kampuni 300300
 
Kawaida na handcap ndio nini mkuu
 
Kawaida na handcap ndio nini mkuu

Normal:
Hapa unachagua timu gani itaibuka mshindi ndani ya dakika 90 za mchezo bila kujali timu hiyo uliyoichagua itaibuka kidedea kwa magoli mangapi.Hata ikishinda moja bila we tayari ni mshindi.
Mfano matokeo yakiwa Chelsea 1 Crystal palace 0,hapa kama uliichagua chelsea tayari unakua umeibuka mshindi.

Handcap:
Hapa ndio pana ugumu kidogo na ili upate lazima uwe mzoefu kidogo kwenye kujua uwezo wa kila timu utakayochagua.Mara nyingi timu moja hapa huwa inapewa goli kabla hata ya mchezo kuanza kwa kufanya assumptions.Timu inayopewa goli point zake huwa chache ukilinganisha na ile ambayo haijapewa goli.Endapo utaichagua timu ambayo haijapewa goli basi hiyo timu inatakiwa kushinda si chini ya goli mbili.Endapo utaichagua timu iliyopewa goli basi hata kama matokeo ya mwisho yatakua bilabila utakua umeibuka kidedea sababu goli ulilopewa awali litakua limekubeba.
 
Vipi kuhusu viwango vy betting kwa aina zote? Pia mkeka ni nini?
 
Viwango vya ku bet vinaanzia 500 Tshs na kuendelea.Ila unaweza weka ata milioni kumi kama una ubavu.Mkeka ni jina la mtaani likiwa na maana ile tiketi unayopewa baada ya kubashiri.
 
Swali dogo la nyongeza mkuu. Viwango vya malipo vinakuwaje? Ni asilimia ngapi?
 
Back
Top Bottom