Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

thanx voda juzi nilijaribu kubet na voda,kiutani niliwapa Anzi ya urusi iliyokuwa ikicheza na D Moscow Win, then nikawapa Everton Win iliyokuwa ikicheza na Arsenal, niliweka dau kidogo sana coz ya uwoga niliweka 2500 but u can believe jana nimewekewa mzigo wangu elfu 45 na vipointskweli hii kitu ni nzuri!
sasa wadau nina swali, tofauti ya weka Dau Normal na weka Dau Handcapp kupitia M-BET ya voda ni ipi?

karibu kilingeni mkuu.. 2meshaeleza sana tofaut ya normal na handcap ila kwa faida ya wageni ni kwmba handcap timu ambayo inaonekana dhaifu ktk game husika hupewa goli mfano game ya evaton na asnal timu iliyopewa goli ilikua arsenal. Kwamana hyo evaton ilitakiwa kushnda tofauti ya goli 2 na kuendlea kuwa win, kama ingeshnda tofauti ya goli 1 ingekua handcap draw
 
Brentford,Concord Rangers,Wigan,Alfreton,Salisbury nyongeza (Altrincham) Double Chance Zote....
 
Real kanimaliza hamu sina kabisa. Ngoja nistaafu kwa muda
 
Ila jana real wameniudhi sana.
Siachi ngoja niendelee
 
J3 niliweka Tottenham jana nikaweka Chelsea leo sasa faida na mtaji woooooote (€45) naweka kwa Barca na game siicheki mtanipa matokeo
 
Back
Top Bottom