Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
- #1,521
thanx voda juzi nilijaribu kubet na voda,kiutani niliwapa Anzi ya urusi iliyokuwa ikicheza na D Moscow Win, then nikawapa Everton Win iliyokuwa ikicheza na Arsenal, niliweka dau kidogo sana coz ya uwoga niliweka 2500 but u can believe jana nimewekewa mzigo wangu elfu 45 na vipointskweli hii kitu ni nzuri!
sasa wadau nina swali, tofauti ya weka Dau Normal na weka Dau Handcapp kupitia M-BET ya voda ni ipi?
karibu kilingeni mkuu.. 2meshaeleza sana tofaut ya normal na handcap ila kwa faida ya wageni ni kwmba handcap timu ambayo inaonekana dhaifu ktk game husika hupewa goli mfano game ya evaton na asnal timu iliyopewa goli ilikua arsenal. Kwamana hyo evaton ilitakiwa kushnda tofauti ya goli 2 na kuendlea kuwa win, kama ingeshnda tofauti ya goli 1 ingekua handcap draw