Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mi nawapa columbia,uruguay,coted na england jana nimekula na leo pia nakula.
 
Wale wa Italy Buffon katoka hivyo kuweni makini kabla ya kuweka kwa Italy
 
safi sana Colombia namsubiri Uruguay afanye mambo kesho nikachukue changu
 
Uruguay katuchinja sana siamini katika $1,290 sipati kitu.. 😡
 
Back
Top Bottom