Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu C.E.O something is not right here, niliweka mzigo kwa Mara ya kwanza jana Tshs 10,000 ( nili Bet normal kwa M BET) Odds zilikua kama hivi
Cameron lose 1.05
Australia lose 1.35
na imetokea nimepatia, hela niliyotumiwa na MBET ni Tshs 14,175 ina maana nili risk 10,000 ili nipate 4175 tu? ebu nielezee hapa.... thnx in advance

Mkuu hiyo ndo uliopata, mana odds zilikua ndogo,,kimahesabu zidisha hzo odds yan 1.05 x 1.35 then unazidisha mara ela uliyoweka x 10000 = jibu
 
Mkuu C.E.O something is not right here, niliweka mzigo kwa Mara ya kwanza jana Tshs 10,000 ( nili Bet normal kwa M BET) Odds zilikua kama hivi
Cameron lose 1.05
Australia lose 1.35
na imetokea nimepatia, hela niliyotumiwa na MBET ni Tshs 14,175 ina maana nili risk 10,000 ili nipate 4175 tu? ebu nielezee hapa.... thnx in advance

Hiyo ni sahihi mkuu,

Betting ni probability, na inafuata all procedures za probability mostly combination.

So kwa uelewa wa kawaida, unapobet, unafuata mutual inclusive event trend otherwise uwe umecheza combinations (mfano kati ya bet zako 10, upatie 5)

So kulingana na hapo, kujua total odds, just simply zidisha hizo odds zako na product ya zidisho lako, zidisha na stake/pesa uloweka.
Kwa case yako ingekuwa

(1.05 * 1.35) * 10,000 ~ 14,000.

Kama unataka faida kubwa, huna budi kurisk kukubwa, na kurisk kukubwa ni either kucheza timu nyingi au kuchagua timu zenye odds kubwa au vyote kwa pamoja.
Hii ndio kamari mkuu.
 
Mkuu C.E.O something is not right here, niliweka mzigo kwa Mara ya kwanza jana Tshs 10,000 ( nili Bet normal kwa M BET) Odds zilikua kama hivi
Cameron lose 1.05
Australia lose 1.35
na imetokea nimepatia, hela niliyotumiwa na MBET ni Tshs 14,175 ina maana nili risk 10,000 ili nipate 4175 tu? ebu nielezee hapa.... thnx in advance

we shukuru tuu hapo utaweka vocha week nzima..
 
Hahahaha ndomana kabla ya kubet huku kwetu tunaangalia odds vizuri sana, it doesn't make sense kurisk 10000 kwa kupata 3000 au 4000
 
kama ni ya uhakika alafu unashida hata mimi narisk tuu..
 
Hahahaha ndomana kabla ya kubet huku kwetu tunaangalia odds vizuri sana, it doesn't make sense kurisk 10000 kwa kupata 3000 au 4000

Ila sometimes bora kurisk hivyo, maana unakuwa somehow certain kuwa nitakula pesa, kulikoni kujisubirisha kula nyingi na huku masiku yakipita.

Now nikijichezea zangu live, narisk pesa nyingi ila buku 30 sizikosikosi hazipiti siku 3 bila kulala na faida ya buku 30. Ingawaje sometimes napasuka, lakini somehow inatia faraja kwamba hata wao wanaliwa. Siyo kila siku unaliwa wewe tuu.
 
Hahahaha ndomana kabla ya kubet huku kwetu tunaangalia odds vizuri sana, it doesn't make sense kurisk 10000 kwa kupata 3000 au 4000

Mimi leo ndo mwanzo na mwisho, both sides wanatakiwa Ku risk 50/50 like tossing a coin, how comes wao wale 10,000 then mie nile 4000? ngoja nibaki mtizamaji tu
 
ukitaka unaweza badilisha hiyo ni wewe tuu...
 
Leo nampa Uruguay na Costarica win odds jumla ni 11 nampa 4000
 
Dah pole mkuu usijali ipo siku utashinda tu endelea kubet kama kawa.
Wengine tuna karibu mwezi hata hiyo buku 4 hatujala katika footbal, na karibu kila siku tunabet ila hatukomi.
 
Mkuu Nakushauri ucheze mbili vinginevo utaliwa hapo kwa costa rica ndipo penye utata sidhani kama watoto wa malkia watakubali waondoke bila pointi.
Leo nampa Uruguay na Costarica win odds jumla ni 11 nampa 4000
 
Nimefungua ac ya meridiani bt sijajua nadeposit pesa vp?...huku kwetu maeneo ya sinza ofisi zao zipo wapi?
 
Mkuu C.E.O something is not right here, niliweka mzigo kwa Mara ya kwanza jana Tshs 10,000 ( nili Bet normal kwa M BET) Odds zilikua kama hivi
Cameron lose 1.05
Australia lose 1.35
na imetokea nimepatia, hela niliyotumiwa na MBET ni Tshs 14,175 ina maana nili risk 10,000 ili nipate 4175 tu? ebu nielezee hapa.... thnx in advance

uliweka timu zenye point chache sana. Ungemwongeza na uholanzi ungepiga mpunga atleast 40 elfu.. Lakin kabla ya kubet si ulitengeneza mkeka ukauona vizur?
 
Mkuu Nakushauri ucheze mbili vinginevo utaliwa hapo kwa costa rica ndipo penye utata sidhani kama watoto wa malkia watakubali waondoke bila pointi.

Nimeamua kukosa pia
 
Jamani leo tujilipue kwenye hizi mechi ngumu, nataka nimpe Uruguay,Costarica,Japan na Ivory
 
Back
Top Bottom