Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,595
- 3,670
Mkuu C.E.O something is not right here, niliweka mzigo kwa Mara ya kwanza jana Tshs 10,000 ( nili Bet normal kwa M BET) Odds zilikua kama hivi
Cameron lose 1.05
Australia lose 1.35
na imetokea nimepatia, hela niliyotumiwa na MBET ni Tshs 14,175 ina maana nili risk 10,000 ili nipate 4175 tu? ebu nielezee hapa.... thnx in advance
Mkuu hiyo ndo uliopata, mana odds zilikua ndogo,,kimahesabu zidisha hzo odds yan 1.05 x 1.35 then unazidisha mara ela uliyoweka x 10000 = jibu