Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

Wanaosemaga Dar kuna shida ya maji sijui huzungumzia wapi...yaaani.
 
Tatizo jingine kansa inayosababishqa na shughuli za migodi huko.

Binafsi siwezi ishi huko maana hiyo ndio Kanda inaongoza Kwa kansa na Magonjwa ya ajabu ajabu.
 
Kipindi ikifika ukakaa mikoa kama 10,utakuja kusema Mbeya afadhali....
Ukifika kanda ya kati utajua maana ya shida maji....
Kinachouma zaidi mbeya mito unaiona inatiririsha maji lakini kutoka bombani ndio changamoto, mimi mwenyeji wa lindi lakini shida sio kubwa sana, pia nimekaa dodoma mjini, ni nafuu
 
Wanaosemaga Dar kuna shida ya maji sijui huzungumzia wapi...yaaani.
Ndio mimi namshangaa anachosema.
Isije ikawa akaenda Kisarawe kwa Jokate kule akadai kuwa kuna uhaba wa maji,kule Kisarawe kweli kuna uhaba ila Kisarawe ni mkoa wa Pwani sio Dar es salaam.
Na kutoka Chanika kwenda Kisarawe ni hatua chache tu.
 
Daslam ni jiji la kutafutia maisha sio kuishi permanently...ni jiji la kimkakati hilo ukiwa hustler hela ipo then unaenda kujenga kwenu huko Vwawa kabla kina Mwajuma wa Buza na Tandale hawajakukamatilia....
 
Tatizo jingine kansa inayosababishqa na shughuli za migodi huko.

Binafsi siwezi ishi huko maana hiyo ndio Kanda inaongoza Kwa kansa na Magonjwa ya ajabu ajabu.
Hzo ni takwimu kama takwimu zingne tu bro wewe ishi hukohuko wengne acha tujirushe Mwanza, nnaimani hata hayo magonjwa Kuna watu wanaishi Mwanza miaka na hawajui km yapo ni kama mnavosema Dodoma tuna ugua sana macho ila tangu nmezaliwa hadi leo sijawahi ugua macho 😁 zakuambiwa weka na zako, kama ipo ipo haipo haipo tu bro.

#LiveURELife.
 
Ndio mimi namshangaa anachosema.
Isije ikawa akaenda Kisarawe kwa Jokate kule akadai kuwa kuna uhaba wa maji,kule Kisarawe kweli kuna uhaba ila Kisarawe ni mkoa wa Pwani sio Dar es salaam.
Na kutoka Chanika kwenda Kisarawe ni hatua chache tu.
Sidhani kama kuna mkoa una Visima vingi vya maji kama Dar aiseeh....
 
Daslam ni jiji la kutafutia maisha sio kuishi permanently...ni jiji la kimkakati hilo ukiwa hustler hela ipo then unaenda kujenga kwenu huko Vwawa kabla kina Mwajuma wa Buza na Tandale hawajakukamatilia....
Wanaotafuta peas Dar,hujenga kwao lakini huishia kuweka makazi hapahapa mjini,,,kwao yanabaki magofu...
 
Omba tu bro isikukute, nipo Mwanza sijasafiri kabisa kutoka nje ya mkoa mwaka na miezi harakati zangu nafanya humu humu tu town ila nilipatwa na huo ugonjwa wa macho aisee ni balaa toka nazaliwa ndo nmeugua macho ukubwani ni ugonjwa wa kis*nge sana yamenitesa almost mwezi..
 
Watu mna list tu mikoa Yenu. Hakuna mkoa Bora kuishi kama A- Town. Dar ni joto na miharufu ya ovyo. Kila sehemu ni chafu. Sehemu nyingine ni njombe japo Kuna baridi lakini maisha ni rahisi. Kanda ya ziwa labda kagera ila mikoa mingine ni njaa tu, Dodoma futa kabisa kwenye list, huo mkoa si wakuishi ni ukame Kila kitu kinatoka singida, Iringa na morogoro. Hivyo maisha ya Dom ni gharama maana unaishi jangwani .
 
Kigamboni ipi ina shida ya maji....?🀣🀣🀣 unaongelea Dar ipi mwenzetu....
Quality ya chakula, duh ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…