rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Njaa ni njaa mkuu.Ila anaelalama njaa Dar si sawa na anayelalama njaa Laikani mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa ni njaa mkuu.Ila anaelalama njaa Dar si sawa na anayelalama njaa Laikani mkuu.
Nafkiri bado haujawahi izunguke Arusha...
Wilaya ya Longido na Monduli,kamwe haiwezi kumbwa na mafuriko, mana ni kame sana.
Wilaya ya Karatu sahau,,,
Hapo
Arusha mjini sehemu zenye kujaa maji ni chache sana,,,yaani sana
labda Wilayani Meru
Yani unavyoina Mbeya mjini na miunRuvuma hapana 📍
No doubt....Kwa kuangalia Bei za Vyakula na wingi,orodha ni tajwa hapo juu inakuwa ....
1.Mbeya
2.Ruvuma
3.Njombe
4.Iringa
5.Mwanza
6.Kilimajaro
7.Dar
8.Arusha
9.Unguja
10.Dodoma
Watu wengi wamedanganywa kuwa Arusha maisha ni bei ya juu sana wakati ni tofauti kabisa yaniWewe bado hujakaa Arusha wewe. Yani Arusha hakuna maji? Chakula gharama? Yani ilitakiwa Arusha ndio iwe ya kwanza. Dar inaongoza kwa wingi wa watu na mzunguko wa pesa basi. Vingine vyote ni kizungumkuti. Maji shida, usafiri tabu, joto kama tanuru, we mzima kweli kichwani?
Ata Arusha hiyo modernity ipo. Dar hakuna maajabu ya kutishia Arusha ata moja. Dar kwa ukubwa na mzunguko yes. Lakini eti ni modern kuliko Arusha NO. Big No. Arusha walie delea mapema sana. Ni watu wenye stereotypes na ushamba ndio hudhani dar ni kila kitu.Hakuna mj
Hakuna sehemu ilokosa mbu.
Kila sehemu ina mbu.
TANZANIA HAKUNA JIJI LA KISASA KUZIDI DAR ES SALAAM.
UNLESS UWE MASIKINI UKAISHIA TANDALE.
Nenda Kijichi,Kigamboni Somangira,Masaki,Mikocheni,Oysterbay,Msasani uone maisha ya kitajiri ni nini.
Bei za vyakula Dar ni gharama kuliko ata Arusha, isipokuwa kama unataka ku compromise quality. Vitu kama nyama, nyanya, ndizi, cabbage, carrots, nk. Its cheaper in Arusha. Watu sijui huwa wanajidanganya nini yani.No doubt....
Mbeya
Njombe
Iringa Kwa misosi ....Kila kitu kipo
Kwetu ni zaidi ndio.! Mji gani mkame vile sema tu Kwa vile upo katikatiUtoe Makao Makuu? Au unadhani Dodoma ni sawa na huko kwenu Nyarugusu? 🤣🤣
Kama unataka hela fanya kazi na watu wa Dar es salaam , au mikoa ya kaskazin hasa Kilimanjaro na Arusha hawa watu hawana bambamba, wamenyooka Sana , mikoa mingine wanaunga unga sana
Hiyo moro ilibidi ndo ianzeIfuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
1. Dar es Salaam
- Upatikanaji wa chakula
- Urahisi wa Usafiri
- Elimu
- Hali ya Hewa
- Huduma za maji
- Mitandao ya simu
- Usalama
- Biashara
Ndiyo mkoa ulioendelea Tanzania kuliko yote.
17% ya watanzania wapo katika mkoa huu...Biashara yako ikikubalika mkoani hapa ujue nchi nzima imekukubali.
Shida pekee ya Dar ni hali ya hewa yake kuwa joto kali.
Pesa yako itakufanya uishi maisha ya kifahari ama ukaishi sehemu duni.
2. Mwanza
Unaukaribia mkoa wa Dar kwa kila sifa tajwa hapo juu. Ukiwa hapa,unakuwa karibu Kenya na Uganda.
Wingi wa vyuo,uwepo wa maji na huduma za hospitali.
3. Mbeya
Mkoa wenye utajiri wa chakula ,hali ya hewa ya kuvutia na upatikanaji rahisi wa huduma za elimu na afya.
Mita inatiririsha maji kila kona.
Shida ya huu mkoa ni usalama finyu barabarani (una ajali za kutosha).
Pia usalama finyu majira ya usiku wa manane....una Viji matukio flani hivi ya kibabe.
4. Iringa
unafuu katika chakula,una shule za kutosha na vyuo.
Shughuli za Biashara za kilimo na Mbao.
Huduma za afya nzuri zipo mijini, na nyingine zinafutwa Mbeya au Dodoma.
5. Arusha
Mkoa wenye moja ya majiji makubwa hapa nchini.Una wingi wa Hospitali, Makazi,Shule na Vyuo.
Ila gharama ya chakula katika huu mkoa ni kubwa mno.
Na hata kwenye ujenzi ,gharama ni kubwa sana
Pia kuna shida ya upatikanaji wa huduma za maji. na kuna baadhi ya maeneo katika huu mkoa ni kame.
6. Ruvuma
Huu mkoa una wingi wa chakula na bei nzuri.Una biashara na nchi jirani.Maji na umeme siyo shida.
Ila bado hakuna barabara za kutosha,upungufu wa vyuo
7. Kilimanjaro
Upo juu kwenye kiwango cha elimu na ubora wa elimu. Una huduma nzuri za afya na maji.Mzuri kwa biashara za utalii.
Ila kuna ugumu wa kupata ardhi kwa baadhi ya Wilaya, Gharama ya vyakula.
8. Njombe
Unataka biashara ya mbao,Viazi,Parachichi au Viazi nenda kwenye huu mkoa. Bado una ardhi ya kutosha ,una hali ya hewa nzuri.
Bado kuna uchache wa shule na huduma za afya.
una kiwango kikubwa cha maambukizi ya Ukimwi.
9. Dodoma
Ukiondoa Wilaya ya Dodoma ambayo kuna uboreshaji wa miundombinu kwa halia ya juu,na ujenzi wa kutosha tena wenye kupangika.
Lakini nje na hapo kuna shida ya maji,ardhi kame.
Nimeiweka kwa heshima ya makao makuu ya nchi
10. Unguja
Kupo vizuri kwa biashara,kuna vyuo vya kutosha na huduma za afya.
Barabara na huduma za maji.
Ila
Kwa mtu wa bara atapata ugumu kwenye
Bonus: Morogoro
- Aina za vyakula
- Udini
- Uhitaji wa vitambulisho
- Leseni ya udereva kutokukubaliwa
- Kubaguliwa kwenye baadhi ya huduma.
NOTES
Mikoa ambayo sijawahi fika ni Katavi,Mtwara,Geita,Rukwa,Mara,Pemba na Kigoma.
Mpangilio kulingana na niliyo yaona katika mikoa husika.
Unaweza weka orodha yako.
Nenda ukadmin magrupu yako, acha utotoMataa mbona hata hku yapo!? Mnajkuza na kukuzwa tu na gvt but we all the same in other aspects
Kama Kuna Ukame watu wanahamia kufanya nini? Kwa nini wasihamie huko kwenu Nyarugusu? 😂😂Kwetu ni zaidi ndio.! Mji gani mkame vile sema tu Kwa vile upo katikati
2. Mwanza
Unaukaribia mkoa wa Dar kwa kila sifa tajwa hapo juu. Ukiwa hapa,unakuwa karibu Kenya na Uganda.
Wingi wa vyuo,uwepo wa maji na huduma za hospitali.
Roughly Nigger 😋 I got your point and thanks you explain everything so much well ila kuna namna unatakiwa ujue not every modern city must have got what you call Skyscrapers, there are so many cities worldwide with no what you call Skyscrapers na bado ni majiji ya kisasa, And I'm really sure ukimchukua mtu yyte umlete Dodoma azunguke na aende Dar bas atakuambia mji upi upo well organized.A
You are confusing between city modernity and city organization.
Bro a modern city worldwide must have these characteristics;
1)Skyscrapers.
2)Flyovers/interchanges.
3)Well organized transportations.
Je hiyo Iringa ina hivi vitu!?
Dodoma nimefika ni kama Temeke tu.
Arusha nimefika ikapambane na Mwanza but Iringa bado.
Usisahau kunijibu kuhusu hapo juu.
About city organisation nilikujibu bro katika mkoa wenye miji mikongwe Dar ni wakwanza,tushukuru mikoa mingine mathalan kama Dodoma imejengeka kipindi hiki ambacho kuna upembuzi wa mipango miji.
Temeke,Buguruni na kwingineko kuwa na shunty town ni kwasababu ya ukongwe wake pili ongezeko la watu.
Ila haimaanishi kuwa Dar it lacks well organized towns.
Ila Dar yapo maeneo ambayo yako well organized kuliko huko kote ulipopataja mathalan Kigamboni,Oysterbay,Masaki,Mikocheni,Kijichi,Kijitonyama,Mbezi beach,Ununio,Mbweni.
Haya ni maeneo ambayo yako well organised hapa TANZANIAWIDE.
Unapopataja nimefika mzee kasoro Iringa.
Unauitaje mji wa kisasa hauna hata skyscraper my foot!?
Are you serious!?
Kwa kuwa well organized mkoa wa kwanza nachagua Tanga kesha Mwanza.Roughly Nigger 😋 I got your point and thanks you explain everything so much well ila kuna namna unatakiwa ujue not every modern city must have got what you call Skyscrapers, there are so many cities worldwide with no what you call Skyscrapers na bado ni majiji ya kisasa, And I'm really sure ukimchukua mtu yyte umlete Dodoma azunguke na aende Dar bas atakuambia mji upi upo well organized.
Kanitafutie sehemu Arusha yenye massive buildings za maghorofa kama hapo Upanga.Ata Arusha hiyo modernity ipo. Dar hakuna maajabu ya kutishia Arusha ata moja. Dar kwa ukubwa na mzunguko yes. Lakini eti ni modern kuliko Arusha NO. Big No. Arusha walie delea mapema sana. Ni watu wenye stereotypes na ushamba ndio hudhani dar ni kila kitu.
Acha kudanganya watu wewe,kaskazini imejaa wapigaji wakubwa unataka kusema nini asee,tunaishi hapa hapa Arusha tunajua,acha uongo bana tumetembea sana tunajuaKama unataka hela fanya kazi na watu wa Dar es salaam , au mikoa ya kaskazin hasa Kilimanjaro na Arusha hawa watu hawana bambamba, wamenyooka Sana , mikoa mingine wanaunga unga sana
Huu ni upeo wako wa kuishi hapa Arusha au kuzaliwa Kaskazini,unafanya kuwamba ngomaBei za vyakula Dar ni gharama kuliko ata Arusha, isipokuwa kama unataka ku compromise quality. Vitu kama nyama, nyanya, ndizi, cabbage, carrots, nk. Its cheaper in Arusha. Watu sijui huwa wanajidanganya nini yani.
Ngoja hao wanaoita wenzao machogo makubwa waje10. Unguja
Kupo vizuri kwa biashara,kuna vyuo vya kutosha na huduma za afya.
Barabara na huduma za maji.
Ila
Kwa mtu wa bara atapata ugumu kwenye
- Aina za vyakula
- Udini
- Uhitaji wa vitambulisho
- Leseni ya udereva kutokukubaliwa