Mikoa 13 Kinara wa Kuchangia Kodi ya TRA mwaka 2023

Hiyo migodi mikubwa inamilikiwa na wazawa?? GDP sio kipimo sahihi cha utajiri wa wakazi wa mkoa husika..
 
Miamala ya Kanda ya Kaskazini Iko kwenye Mikoa yote ya hapo Kaskazini Kwa sababu inalingana Kwa level ya Uchumi as far as GDP is concerned labda Arusha imezidi kidogo tuu.

Turudie Kwa Mbeya,pengine hujui Nguvu ya Uchumi ya Mbeya na aina za activities ambazo zinafanyika Mbeya lakini miamala ya malipo inasoma Dar.

Mfano mwingine huu hapa wa TOL gases 👇👇

On top of that kuna kubwa lao,unajua hii biashara kwamba Iko Mbeya? 👇👇

My Take: Kampuni zote hizo zinasoma Dar japo source ya Mali yake ni Mbeya.
 
Hiyo migodi mikubwa inamilikiwa na wazawa?? GDP sio kipimo sahihi cha utajiri wa wakazi wa mkoa husika..
Hoja ni mchango wa Mkoa kwenye Uchumi sio ishu ya maisha ya watu,Hilo Lina mada yake
 
mkoa wa Mara mnaweza kuonesha vyanzo vyake mpaka ikaipiku mikoa kama Morogoro na ikawa imepishana kidogo na Mwanza.
Migodi kama north mara, uvuvi ziwa victoria, tourism, ufugaji, mpaka na kenya ( export and import).
 
Hizi ni takwimu za mikoa katika mapato ya TRA sio takwimu za majiji ,kwenye mapato ya halmashauri jiji la mwanza katika halmashauri za mikoani wanapitwa na dodomà tu
 
Inamaana Dar inaizidi mikoa yote combine together
 
Mkuu haya sio mapato ya halmashauri ,kwenye mapato ya halmashauri jiji la mbeya kwa sasa wako around bil 12 na manispaa ya moshi wako around bil 8
Jibu basi swali!
Mapato ya majiji hayajumuishwi kwenye mapato ya mkoa?
 
Mkuu haya sio mapato ya halmashauri ,kwenye mapato ya halmashauri jiji la mbeya kwa sasa wako around bil 12 na manispaa ya moshi wako around bil 8
Ni zaidi ya Bilioni 20,,Mapato ya Halmashauri Kwa Mkoa wa Mbeya 👇👇
 
Uko sahihi kabisa nilimsikia mulokozi tajiri wa babati mwenye viwanda vya vinywaji vikali akisema amehamishiwa dar
Nadhani anaenda kukadiriwa Kodi huko na control namba anatengebezewa na kitengo Cha walipakodi wakubwa.

Sasa siwaelewi TRA kwamba Mikoani hawawezi kulipa au pengine banks Kwa Mikoani Zina limit za miamala au ikoje ,sijajua vizuri ila ngoja niwaulize wafanyabiashara wakubwa inakuaje kuaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…