Mikoa 13 Kinara wa Kuchangia Kodi ya TRA mwaka 2023

Vichache hivyo. Mimi naufahamu mkoa wa Mbeya vizuri sana. Kuanzia pale inapopakana na Niombe maarufu kama mpakani, inapopakana na Songwe karibu na Saza, inapopakana na Malawi pale Kasumulu na inapopakana na Songwe pale Songwe Darajani(Songwe ya kiwanda cha cement). GDP ya Mbeya ni kwenye uzalishaji wa Chakula. Mbeya inakuja kupitwa na Mtwara na imeshapitwa kwenye kodi. Mtwara wana operators wakubwa wa kiuchumi kuliko Mbeya.
Hayo makampuni unayosema yangeleta basi value chain kwenye uchumi na kuongeza kodi.
 
Hakuna mtu aliyebisha hayo unayoyasemea,ila nachokushangaa wewe ni pale unapokataa kutambua ukweli kwamba Nchi yetu inakusanya pesa Kwa kutumia taasisi zingine nyingi Nje ya TRA licha ya kwamba TRA ndio taasisi kuu lakini aina ya shughuli za Uchumi ndio zinaamua taasisi ipi ikusanye na Wingi wa makusanyo.

Sasa wewe unataka ulazimishe supremacy ya Mikoa ya Kaskazini eti Kwa sababu tuu taasisi ya TRA inakusanya hela nyingi huko.

Nakupa mfano Tume ya Madini inakusanya tozo za madini ,mwaka ulioisha imekusanya karibu Bilioni 800 na Kati ya hizo Mbeya imeongoza Kupitia Chunya.

So ukitaka kupata kiasi halisi Cha pesa kutoka Kila mkoa lazima ujumlishe kutoka Kila taasisi inayokusanya pesa na ndio maana nikakwambia Kwa Lugha rahisi taswira yake utaipata kwenye GDP ambayo wewe hutaki ukidai Ina makosa mengi sijui ni yapi..

Mwisho Arusha inazidiwa GDP na Mbeya Kwa Trilioni 2,,hii ni indicator ya Moja kwa Moja kwamba tukitafita ni pesa kiasi gani zinakusanya kutoka kwenye GDP ya 10.8 vs 8.8 lazima Mbeya itakuwa Juu.πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C-ZYdfzNSWq/?igsh=MTQ3bXJrN3R2Y2xnaA==
 
Bahati nzuri wewe siyo mtakwimu! Huwezi kuita mkoa kinara wakati unaonesha makusanyo yamepungua
 
Bahati nzuri wewe siyo mtakwimu! Huwezi kuita mkoa kinara wakati unaonesha makusanyo yamepungua
Katika kupungua huko huko kuna vinara.

Pili yameoungua Kwa level ya Baadhi ya Mikoa ila Mikoa mingine yameongezeka lakini pia Kwa Baadhi ya taasisi yameongezeka ndio maana kitaifa Mapato yameongezeka sana tuu.
 
Mwaka ujao tutegemee Mikoa kupishana zaidi ikiwa lengo hili la TRA litafikiwa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C-Zau5IMi8v/?igsh=czd3OGg4aWZucnJu
 
Mwenzenu Mwanza ameshakalishwa kule.

Mapato ya Jiji Dom imewanyea kama kawaida ,Bado haya ya TRA tuu napo kaeni mkao wa kunyewa pia
Mapato ya TRA hayaakisi uchumi ikiwa mnyororo wa kilimo, uvuvi yenye kuinua watu kiuchumi hayachangi pakubwa kwenye mapato ya TRA, pia mianya ni mingi ya mapato yanapotea, mazao ya utalii yana mapato direct kwenye TRA, ndio maana kigezo kikubwa cha uchumi ni GDP.
 
Nadhani unajua GDP inavyokokotolewa. Is GDP a function of revenue collection?
 
Mwanza baada ya miradi yetu kuisha tutaingia battle na Durban na sio mji wa Arusha tena, arusha iendelee kushindana na dodoma.
Mkuu mkapambane na Tanga na kilimanjaro mkiwini njooni Arusha habar ya Darban hata dar haifui dafu.
Unaijua king shaka international Airport?
 
Mwenzenu Mwanza ameshakalishwa kule.

Mapato ya Jiji Dom imewanyea kama kawaida ,Bado haya ya TRA tuu napo kaeni mkao wa kunyewa pia
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ yaani wagogo hamfui Dau hata iweje uzuri Arusha inasonga mbele hairudi nyuma na utalii unazidi kuchanua mwaka huu airports zilijaa wageni subirini mkeka
 
Nadhani unajua GDP inavyokokotolewa. Is GDP a function of revenue collection?
Revenuse ni sehemu ya Gloss product inaweza kuwa in terms of net exports,volume of transactions au any form of liquidity.
 
Kwa dodoma ni Mazingira na unproductive soil and limited rains kwa kagera ni tabia za wahaya za uvivu na kupenda kiingereza badala ya kazi
Kwa hiyo wavivu ndo wanatoa kodi kubwa siku hizi au elimu yako ni ndogo??
 
Kwa hiyo wavivu ndo wanatoa kodi kubwa siku hizi au elimu yako ni ndogo??
Kodi kubwa zipi mlizotoa? Yaani customs na excuse duties zinazokusanya mtukula na mpaka wa Rwanda ni za Wahaya? 🀣🀣🀣🀣🀣

Kwa hiyo nyie mafukara ndio mnazalisha bidhaa hizo for exports πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
🀣🀣🀣🀣Bado hujapona matatizo ya akili?? Kwa hiyo kodi zinakusanywa kwenye mawe au?? Sijui kama ulienda shule
Wewe jinga hizo Kodi ni exports/Imports duties as a result of border posts sio Kwa sababu za uzalishaji wenu.

Nyie mafukara mna uzalishaji upi wa maana? Mngekuwa na GDP ya kifukara? πŸ˜‚πŸ˜‚

Unadhani kila mtu ni mjinga kama wewe?
 
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ yaani wagogo hamfui Dau hata iweje uzuri Arusha inasonga mbele hairudi nyuma na utalii unazidi kuchanua mwaka huu airports zilijaa wageni subirini mkeka
Nyie na Kagera tofauti yenu ni ndogo sana ,wote mnategemea Mapato kwenye import/export points ambazo ni Border posts na Viwanja vya ndege nothing else
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…