Dar tunaongozaa na manabii wapuliza gesi puuuuuuuHii ni mikoa nane ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
7. Lindi
8. Mtwara
Hapo Zenj ingekuwa namba 1Utafiti wako umeufanyia wapi?
Unamaanisha dini zipi?
Hivi unazijua dini za jadi?
Ulishawahi kufika Njombe, Iringa, Lindi, Mtwara, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Rukwa na kutazama hilo la dini?
Kwangu mimi sijaona afadhali kokote.
Una ushahidi na hili Mjomba?Zamani niliamini wachaga karibu wote ni waumini wa dini ya kikristo, lakini nillipo tembelea huko uchagani mwezi December nikagundua huenda zaidi ya 80% ya wachaga ni wapagani na waumini nguli wa dini za kijadi (mizimu, matambiko na ushirikina)
Hapana hatutumii KwasababuWaislamu mnatumia vitabu mlivyovikuta?
“They have tampered with my letters, not sparing even the words of the Lord, and they have dared to falsify the Holy Scriptures.”
Umemsahau yule Mtume Zumaridi alieenda Mbinguni akaekewa CD ya vichekesho: ukienda huko Kanda ya Ziwa ( Shinyanga, Geita na Mwanza hauwaambii kitu🤣Hii ni mikoa nane ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
7. Lindi
8. Mtwara
Dar ibaki kua namba moja kama watu wanajaza gesi kwa mdomo afu waumini wanashangilia.....Mbeya weka namba moja
Naomba usome haya maandiko kuna utabiri wa atakaekuja na sheriyaSasa kama Yesu alikuja kutimiliza why Muhammad aje?
Ewaaah Mudy huko kaharibuTanga, Tabora na Kigoma ni kwa baadhi ya maeneo machache tu hasa yenye wafuasi wengi wa mtume Mudy.
Kumuingiza mwamedi kwenye prophetic lineage ni kutaka kujitoa ufahamu!Naomba usome haya maandiko kuna utabiri wa atakaekuja na sheriya
Yohana 16:1-12
1)Maneno hayo nimewaambia, msije mkachukizwa.
2) Watawatenga na masinagogi; naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada.
3) Na hayo watawatenda kwa sababu hawakumjua Baba wala mimi.
(Je Paulo hajayafanya hayo 👆🏽 )
4) Lakini nimewaambia hayo, ili makusudi saa ile itakapokuja myakumbuke ya kuwa mimi naliwaambia. Sikuwaambia hayo tangu mwanzo, kwa sababu nalikuwapo pamoja nanyi.
5) Lakini sasa mimi naenda zangu kwake yeye aliyenipeleka, wala hakuna mmoja wenu aniulizaye, Unakwendapi?
6) Ila kwa sababu nimewaambia hayo huzuni imejaa mioyoni mwenu.
7) Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu.
8) Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.
(7 na 8 huyo msaidizi ni nani atakaye toa hukumu)
9) Kwa habari ya dhambi, kwa sababu hawaniamini mimi
10) kwa habari ya haki, kwa sababu mimi naenda zangu kwa Baba, wala hamnioni tena
11) kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.
12) Hata bado nikali ninayo mengi ya kuwaambia, lakini hamwezi kuyastahimili hivi sasa.
13) Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake.
14) Yeye atanitukuza mimi, kwa kuwa atatwaa katika yaliyo yangu na kuwapasha habari.
(14 Je Muhammadi hajamtukuza Yesu kwa kumtakasa )
15) Na yote aliyo nayo Baba ni yangu kwa hiyo nalisema ya kwamba atatwaa katika yaliyo yangu, na kuwapasheni habari.
16) Bado kitambo kidogo nanyi hamnioni; na tena bado kitambo kidogo nanyi mtaniona.
Kwamba roho aliyeahidiwa ni mwamedi? Hebu kuwa serious mzee!Kumuingiza mwamedi kwenye prophetic lineage ni kutaka kujitoa ufahamu!
Kama? Embu list waliopo nchini japo kwa uchache?Wapo Catholic extremists