Mikoa inayoongoza kwa watu kujisaidia vichakani, maporini na baharini

Huko ni neema ya Mungu ndiyo iliyotuvusha Mkuu...

Wanasema kinga ni bora kuliko tiba, muhimu kuchukua tahadhali Mkuu, ndiyo maana pamoja na kushindwa kununua vidonge vya kutibu Maji miaka ile, maarufu kama Waterguards bado Wananchi tulipewa Elimu kuhusu kuchemsha Maji ya kunywa na kuyachuja.
 
nimesikitika sijaona njombe,,na hapa ndo napandisha pant nmetoka kichakani

Mbaga Jr

Acha hizo Njombe sehemu gani hakuna vyoo wakati huko kampeni ya nyumba ni choo ilipamba moto?
Acha masikhara Njombe Wapo level nyingine acha uchochezi!
😁
 
sasa wewe,,nmetoka shambani,,nibane hadi nkakute nyumba ni choo🀣
Labda useme shambani
Hiyo ripoti inahusu majumbani vyoo hakuna na Sio mashambani hujaelewa tu,
Huko pemba wanatoka home na kwenda kata gogo kwenye mikoko au beach without any imergence elewa concept sauwaaaa?
😁😁
 
Labda useme shambani
Hiyo ripoti inahusu majumbani vyoo hakuna na Sio mashambani hujaelewa tu,
Huko pemba wanatoka home na kwenda kata gogo kwenye mikoko au beach without any imergence elewa concept sauwaaaa?
😁😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ M'bena wawapi wewe unatetea sana,, kamwene veya
 
Nimefirahia Kagera hatuna hizo tabia chafu
Kagera wanasemaga hakuna vyoo bora sio kwamba hawana vyoo.

Vyoo vya kijijini kwa mkoa wa kagera ni vile traditional vinavyojengwa migombani wakitumia mabanzi na shimo bila kujengewa na kinyesi kilifyonzwa na ardhi na kuongeza Rutuba. Japo kisayansi ni mbolea kwa ajili ya Migomba na mazao.
Lakin wanasayansi wa siku hiz wanashauri Toilet zisakafiwe na kujengewa. Yaan tutunze kinyesi. So wanasema kagera hakuna vyoo bora kosa hawafanyi hivyo. Japo siku hiz wajenzi wanawasikiliza wanasayansi ya kisasa.
 
Seeds can germinate where there is fertile, so mm nkipita karbia na chaka au kichaka lazima nkagonge cheers πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumbe chura asiyesikia nae ni member wa kunya maporini?
 
Kichaka cha nani, Pemba mambo baharini, kwa raha zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…