Mikoa inayoongoza kwa watu kujisaidia vichakani, maporini na baharini

Ulichoongea ni nini sasa? Pemba ipi unayozungumzia ya msumbiji au.Ni kweli wapemba ni wafanyabiashara wazuri lakini Hilo haliondoi kuwa jamij kubwa ni duni.Samaki wa kuvua na mitumbwi hata bara ukanda wa pwani wapo.Pemba Iko nyuma sababu ni Moja au mbili ila pia wapemba wakiondoka hawarudi nyumbani mazima wanarudi kuongeza wake tu.Pia mnaondoke kwenye ujima wapemba Bado ni wajima
 
Narudia, huijuwi Pemba, unakisia tu.

Wapemba hawana uduni kabisa. Unaongelea samaki tu, mbona huongelei na karafuu?

Don't judge the book by its cover.
 
Ni kweli na sahihi kabisa kwamba enzi zile za ujinga wetu Mungu alituvusha ktk majanga mbalimbali- tuliyokuwa tunayajua na hata yale tuliyokuwa hatuyajui. Lakini kwa kuwa sasa tumeshajua; Mungu naye amesitisha au amepunguza kutupiga tafu na ametuacha ili tutumie Akili zetu na Maarifa aliyotujalia ili tuweze kupambania ustawi wetu wenyewe. Ukijilegeza ujue utakwenda na maji.
 
Umeongea sahihi sana Mkuu πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ™πŸ™
 
Siyo kufuga tu hata kilimo cha mwani wanalima majini.

Wewe unaweza kulima majini? Nchi kavu imekushinda mpaka aje Bashe kuwafundisha.
Kuiba sukari au??? Mkawafundishe huko mombasa ,ushaona huku watu wanalia njaa njaa kama hao wenzenu wa huko Kenya,,,,,,,ilibidi wasomali wa huko waache kufanya ugaidi waanze kulima kwanza hapo Kenya
 
Kuiba sukari au??? Mkawafundishe huko mombasa ,ushaona huku watu wanalia njaa njaa kama hao wenzenu wa huko Kenya,,,,,,,ilibidi wasomali wa huko waache kufanya ugaidi waanze kulima kwanza hapo Kenya

Ulikuwa unaibiwa mpaka bei imefika kilo 10,000 kaja mbabe wa Kisomali kakuokowa unamuona mbaya.

Kweli shukran ya punda mashuzi.
 
Ulikuwa unaibiwa mpaka bei imefika kilo 10,000 kaja mbabe wa Kisomali kakuokowa unamuona mbaya.

Kweli shukran ya punda mashuzi.
Tunaibiwa kinyesi kichakani au?? Ngoja yule mtaalam afanye mambo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…