Edsheraan
JF-Expert Member
- Oct 22, 2024
- 659
- 1,126
UmekaririKama zipi zaidi ya kulima mahindi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmekaririKama zipi zaidi ya kulima mahindi?
Halafu mkuu naomba nikuulize...Kama zipi zaidi ya kulima mahindi?
Kule Kuna malori kutoka Kanda ya Ziwa ndio yanabeba MpungaHalafu mkuu naomba nikuulize...
Mahindi na Mpunga unaolimwa majimoto huuzwa wapi?
Yaani kuna soko maalumu au huuziana wao kwa wao?
Weka fursa watu wajue sio kujizungusha zungushaUmekariri
Niweke Mkoa gani? Rukwa ni Kati ya Mikoa maskini Tanzania na inaongoza Kwa utapiamlo 😂😂Rukwa itoe kwenye list yako watu wanatengeneza ma milion ya pesa kwa kilmo cha maind ulime au ununue uuze lazma upge noti
Mahind kwa majimoto n ww tu kuamua uuzie serkal au wa kongo au wafanya biashara wa mazao kama utapeleka sirar au mtukula hata mpanda piaHalafu mkuu naomba nikuulize...
Mahindi na Mpunga unaolimwa majimoto huuzwa wapi?
Yaani kuna soko maalumu au huuziana wao kwa wao?
Mnauzaje mashamba hapo majimotoMahind kwa majimoto n ww tu kuamua uuzie serkal au wa kongo au wafanya biashara wa mazao kama utapeleka sirar au mtukula hata mpanda pia
Katafiti mwenyewe mbona kama unanifokeaWeka fursa watu wajue sio kujizungusha zungusha
Kuna Wasukuma saizi hawauziMnauzaje mashamba hapo majimoto
Utafiti wangu umeonesha hakuna kitu Cha maana, mzunguko wa hela hakuna yaani Kila kitu ni zero kabisa.Katafiti mwenyewe mbona kama unanifokea
Pole sana kwa kutokua na taarfa za mkoa huo kwa uschokijua Rukwa ndio tegemeo la 70% kuzalisha chakula kwa nch hii ndio mana hata zambia kuna njaa na serkal imeitenga rukwa kuuzia mahind zambia..Niweke Mkoa gani? Rukwa ni Kati ya Mikoa maskini Tanzania na inaongoza Kwa utapiamlo 😂😂
Data ziko wapiUtafiti wangu umeonesha hakuna kitu Cha maana, mzunguko wa hela hakuna yaani Kila kitu ni zero kabisa.
Hata mimi nilikuwa na akili kama zako hivyo ila nilivyoenda nikapigwa na butwaaTabora Kuna nini zaidi ya Tumbaku?
Sio kwamba wenyeji wamezubaa...Rukwa ni kweli wenyeji wamezubaa (ila wachapakazi) na uzuri sio wakabila, wageni wamekamatia fursa hasa Sekta ya Kilimo. Ukiwekeza kwenye Kilimo umetoboa ila uwe mbunifu pia wa kutafuta masoko nje ya mkoa wa Rukwa utapata faida hata mara mbili mpaka tatu.
Kweli. Kilimanajaro kukodi shamba la kulima kama we sio mchaga utahangaika sana, kuna mwaka nilisumbuka nikaja kupata nusu ekari tena lipo kwenye miti yaani shamba ni kivuli tu, ila wenyeji wa kule walikuwa wanapata kirahisi tu.Hakuna cha brain kubwa...
Ukabila na vijicho kwa wageni ni tatizo hapa Kilimanjaro full stop.