Mikoa Migumu Kutoboa Kimaisha

Mikoa Migumu Kutoboa Kimaisha

Rukwa itoe kwenye list yako watu wanatengeneza ma milion ya pesa kwa kilmo cha maind ulime au ununue uuze lazma upge noti
Niweke Mkoa gani? Rukwa ni Kati ya Mikoa maskini Tanzania na inaongoza Kwa utapiamlo 😂😂

Kwanza nyie watu wa Rukwa mshukuru walau watu wa Kanda ya Ziwa wanawapa soko vinginevyo mungepauka na bei zingeporomoka mara 3 zaidi kama Ruvuma.

Mikoa iliyo jirani na Dar,Arusha,Dom na Kenya au hata Kanda ya Ziwa ndio wanapiga hela za mahindi Kwa bei nzuri
 
Niweke Mkoa gani? Rukwa ni Kati ya Mikoa maskini Tanzania na inaongoza Kwa utapiamlo 😂😂
Pole sana kwa kutokua na taarfa za mkoa huo kwa uschokijua Rukwa ndio tegemeo la 70% kuzalisha chakula kwa nch hii ndio mana hata zambia kuna njaa na serkal imeitenga rukwa kuuzia mahind zambia..
Nb usibishe vtu usivyokua na taarfa navyo No reserch no right to speak.
 
Rukwa ni kweli wenyeji wamezubaa (ila wachapakazi) na uzuri sio wakabila, wageni wamekamatia fursa hasa Sekta ya Kilimo. Ukiwekeza kwenye Kilimo umetoboa ila uwe mbunifu pia wa kutafuta masoko nje ya mkoa wa Rukwa utapata faida hata mara mbili mpaka tatu.
 
Sio kwamba wenyeji wamezubaa...

Kimsingi wafipa sio wakabila, ndio maana rukwa kuna unafuu kwenye utafutaji...

Kuna mikoa ukienda utatamani kulia wenyeji walivyo wabaguzi...

Kila unachokifanya utafanyiwa figisu hadi uondoke.
 
Hakuna cha brain kubwa...

Ukabila na vijicho kwa wageni ni tatizo hapa Kilimanjaro full stop.
Kweli. Kilimanajaro kukodi shamba la kulima kama we sio mchaga utahangaika sana, kuna mwaka nilisumbuka nikaja kupata nusu ekari tena lipo kwenye miti yaani shamba ni kivuli tu, ila wenyeji wa kule walikuwa wanapata kirahisi tu.
 
Back
Top Bottom