Mikopo ya bank za kibiashara aliyokuwa anakopa Magufuli machungu yake ndio yanaonekana sasa

habari za magufuli kukopa mbona zilikua wazi yaani nikutafunie kila kitu hapana maisha sio marahisi hivyo kama ulikua hufuatilii pole
 
Umesema yote! Bahati Mbaya Jiwe hajaishi mpaka leo hii ili auone ugoro wake
 
0 brain
 
Ila uzi hauhusu hayo uliyoyasemea kwanini usijikite kwenye mada ya uzi
Hakuna sehemu nimeongelea umeme au changamoto nyingine
We umeongelea madhaifu ya Magufuli kwamba alikopa hovyo ila alichokifanya tumekiona. Kwangu mimi sioni tatizo kama alikopa ili afanye mambo ya maana. Ila mmeliongelea on the downside ofcoz riba lazima zilipwe.

Je, comparison mnayofanya baina ya hizi tawala mbili na kuja na notion kwamba aliepo madarakani ana uwezo zaidi wakati mambo chanya hayaonekani zaidi ya mapambio yasio na substance huku hali inazidi kuwa mbaya zaidi ni upuuzi tu.
 
Weee weweeeeeee weeeeee
Wewe inakuuma nini
Ukimkaziii tuu unakusumbuaaa
 
Legacy yake bado ipo ndo hii inatesa nchi
Mtu anaweza akafa leo ila maamuzi yake yakawa tanzi kwenu miaka mingi sana
Maamuzi ya hovyo, unajua nchi inapeleka mamilioni mangapi ya dola kuagiza vifaa vya miradi ya hovyo? Na unajua nchi inapeleka bidhaa zipi nje ya nchi zenye uwezo wa kuleta dola ambazo zitatumika kulipia mitambo na huduma nje ya nchi?
 
Maamuzi ya hovyo, unajua nchi inapeleka mamilioni mangapi ya dola kuagiza vifaa vya miradi ya hovyo? Na unajua nchi inapeleka bidhaa zipi nje ya nchi zenye uwezo wa kuleta dola ambazo zitatumika kulipia mitambo na huduma nje ya nchi?
Miradi ya hovyo nani aliyeanzisha kama sio magufuli
Ntajie mradi wowote mkubwa samia aliouanzisha
 
Sijitaji kupongezwa hakuna sehemu nimeomba kupongezwa nimetoa kile nachokiona
Sawa,hayo ni maoni yako yaliyojaa uongo wa kiwango cha lami.Ni mwaka wa tatu huu tangu Magufuri atutoke na nchi inayumba kuliko kawaida.
 
Miradi ya hovyo nani aliyeanzisha kama sio magufuli
Ntajie mradi wowote mkubwa samia aliouanzisha
Ameshindwa hata kuanzisha mradi wa kulima Bustani,ila tu amewafukuza Wamasai Ngororo na Loliondo na kuwakabidhi Waarabu.
 
Mnajitahidi kumzushia kila uchafu wote ili kuifuta legacy yake nyie chawa wa mafisadi mnafikiri hatujui kama mnaiba
 
Acha ufala
 
Sioni kama ni sawa kumtupia lawama Hayati kwa mwenendo wa mambo yalivyo hivi sasa.

Magufuli alijitahidi mno kwa wakati wake kuhakikisha
1. Miundombinu inakaa sawa
2. Nidhamu ya watendaji serikalini inakuwa ya hali ya juu
3. Huduma muhimu i.e maji, umeme, Afya, Elimu, na chakula vinakuwa si tatizo kwa wananchi.

NB: hatukatai kukopa kwake kufanya miradi, lakini Value for money ilionekana.

Hayati apewe maua yake. Na mama pia apewe maua yake kwa kuifungua nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…