Katika andiko lako, unetumia hisia na mihemko bila kutumia akili.
Tulitegemea tuone
1. Benki gani binafsi alikopa.
2. Riba ilikuwa kiasi gani.
3. Muda wa kurejesha mkopo una urefu gani.
4. Kiasi alichokopa ni shs ngapi.
5. Concessional loans wanakopesha kwa riba kiasi gani.
6. Nk.
Bila kuainisha mambo kama haya utakuwa unafukuza upepo tu na kupiga ngumi hewani.
Pia faida kwa mabenki haiathiri mzunguko wa fedha kama ulivyokuwa unasema. Kwa taarifa yako, sasa kuna mzunguko wa fedha mkubwa sana hivi kwamba BoT imetoa sera ya udhibiti.